Zekidoni & Khantwe

Tena akome kabisaa mpana ka nini, achana nae njoo tulale mpenzi wangu nakupendaaa.....

nini tena? kumbuka rafiki yako msaada wako.
leo unanirashia kesho mkigombana first break kwangu
 

Zekidoni ni nani we kiwatengu unataka kumuua babaangu kwa pressure?
 
Last edited by a moderator:
Huwa napenda kula ubongo

ha ha ha ha.. tena wa mbuzi,au kondoo ndiyo mtamu zaidi..

umeona sasa janeth1 nimekusaidia umejua nini mumeo anapenda..

mwagizie vichwa vya kutosha to make him happy...
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha.. tena wa mbuzi,au kondoo ndiyo mtamu zaidi..

umeona sasa janeth1 nimekusaidia umejua nini mumeo anapenda..

mwagizie vichwa vya kutosha to make him happy...

we jipitishe tu utageka kuwa kichwa cha mbuzi ohooo....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…