Z'bar tuachwe tupumue...

Z'bar tuachwe tupumue...

..kutwa kujibana bana kwa tanganyika halafu mnataka kupumua mtapumuaje? Hebu sogeeni pembeni.......
 
Juzi darajani watu wengi walikuwa wanasema shida za Zanzibar zimesababishwa na Wayahudi

Wazanzibari wanapokula madoriani yao na akili zao zinakuwa kama madoriani,kila tatizo lao lazima awepo wa kumlaumu,sasa matatizo ya wazanzibari na wayahudi wapi na wapi..??
 
Ama kweli mbweha hawezi kufunga domo lake hadi apewe mfupa badala ya nyama. kakke amechoka. Vyeo vyooooote ambavyo wazanzibar wanapewa huku tanganyika ni kazi bure. Ardhi yoooooote waliopewa wazanzibar huku tanganyika ni bure na fursa zooooooooooote wanazopewa huku tanganyika ni useless. ushauri, iwepo kura ya maoni kwa tanganyika na zanzibar juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa muungano wa tanganyika na zanzibar. Bila kufanya hivo viongozi wetu mlioko madarakani mnatuumiza na hasa kutokana na shukrani za punda wazitoazo wazanzibar. Aafu mi naona wanatuumiza na kutunyonya kwa sababu tunawalea kama yatima kwanini ?
 
Who am I to question your way of thinking? Labda wewe ndio watu watakupuuza kwa sababu madai yako ni kama yale ya wengine ambayo yamejadiliwa bungeni yakaonekana pumba. Hayana hata ushahidi wa magazeti!

soma gazeti la NIPE HABARI la wiki iliopita
 
Siku Zanzibar wakijitenga sie huku tunafanya sherehe................
 
Siku Zanzibar wakijitenga sie huku tunafanya sherehe................

Ni kweli Mungi kila mtu atafurahi. Tuipe tu zanzibar uhuru wake ila tatizo wameshabobea sana huku bara, na wabara wako kule. Tutafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Mungi kila mtu atafurahi. Tuipe tu zanzibar uhuru wake ila tatizo wameshabobea sana huku bara, na wabara wako kule. Tutafanyaje?

Wacha waondoke.......................... manake tunahitaji maghorofa yetu bana..................... ni hawa hawa waloleta mchezo kugandana kwenye tiGO......................... ona sasa yaliyotokea Temeke
 
karafuu ndio hivyo tena, halafu mnaleta vurugu, utalii ukipeperuka ndio mtakurupuka kumchunguza sheikh Farid na malengo yake.
 
Wacha waondoke.......................... manake tunahitaji maghorofa yetu bana..................... ni hawa hawa waloleta mchezo kugandana kwenye tiGO......................... ona sasa yaliyotokea Temeke

...ha ha ha,jamani,duh!
 
Back
Top Bottom