Z'bar tuachwe tupumue...

Z'bar tuachwe tupumue...

chanzo cha matatizo zanzibar ni nyie wazanzibari wenyewe...nyie watu wa ajabu sana...mnaonaga wenye makosa zenji ni serikali na wakristo...nyie mko safi kabisa hamna kosa....mother ********, toeni upuuzi wenu hapa

mbona una matusi wewe kijana?
 
hivi huyu anamjibu yule mwenzake???? wa zenji........ anzieni ndani, huku nje mbona hamna tabu? Mnajua nini mnataka? mpo pamoja? UAMSHO ni sehemu yenu?. Ukweli hamna zanzibar baada ya muungano, kuna Pemba na Ungunja!! Hivi mnajua nani mzenji na nani nusu-mzenji na nani siyo mzenji?, hapa bara wapemba wana majumba lukuki, hao naao?
mwisho sielewi objectivive ya ujembe huu!! wasted my time!!
Wakatabahu

kuna unguja na pemba nje ya muungao? wewe unaijua tarehe unguja ilipoungana na pemba? tumbatu na unguja? hiyo ni asili na asili na natural. lakini tarehe ya kuungana kwa zanzibar na tanganyika kwa nini inajulikana? more precisely ni unyang'anyi wa nchi uliofanya na kambarage.
 
Watu waliokosa malezi wanamatatizo sana. Matusi yote ya nini? Mbwa, taahira, kibaraka n.k yana haja gani? Hivi wewe kuchangia ndio ina maana una akili kuliko wote au mawazo yako ni bora kuliko ya wengine?

1) Mwandishi anaposema kwamba vikosi vya ulinzi viko vingi ZNZ hana maana kwamba anapinga ZNZ kuwa na ulinzi wa kutosha. Maana yake ni kwamba hawa wote wanapelekwa ZNZ kwnda kudhulumu watu wanapopata vijisabu. Mfano nyakati za uchaguzi na visingizio vingine kama Uamsho n.k. Kwani ni nani asiyejua kuwa nyakati za uchaguzi vikosi vya ulinzi kwa kiasi kikubwa vinashirki kufanya dhulma na uonevu kwa wanachi wa ZNZ?

2) Wewe mwenyewe unaonekana unakereka kutoka na udini ulio nao. Kwa nini unataja waarabu badala ya mayahudi, wamarekani au watu wengine?

3) Ulitakiwa ujadili hoja alizotowa halafu uache wasomaji wakuone una akili sio kujifanya mchezaji na wakati huo huo referee pia. Acha hizo!

Shida yenu ni kutojua nini mnataka na ndio maana mtaendelea kufanana na mbwa. Ni mbwa ndio huambiwa kamata naye akamng'ata mtu bila kujiuliza kama ipo sababu au kwa kuwa tu bwana kasema.

Hapa unaizungumzia UAMSHO kama 'kisingizio', hii ina maana yale yanayotoea mitaani wako hayakuwa na uzito kwa hiyo ni isingizio tu.

Nashangazwa na udini wenu, hivi Zanzibar hii mliyonayo ina haja ya vikundi vya kutetea Uislam? Unatetewa dhidi ya nini? Hilo sikuona ukilijibu. Au ilikuwa kwamba michoma makanisa ni haki yenu kwa hiyo yeyote anayewakataza anaivunja haki hiyo.

Wayahudi na Wamarekani na nyinyi watumwa wa Mwarabu wapi na wapi mp niwahusishe? Hata wewe unajua kuwa unaongea unafiki. Lakini ukweli huonekana kwa macho. Juzi tumeona Obama ambaye ni Mjaluo na ni just second generation ya Muafrika anakuwa Rais wa Marekani, jambo ambalo haliwezi kupokelewa Zanzibar. Tayari mnawawekea question mark mnaowadhania si wa visiwani kudhani wapo kwenye ikulu yenu, mnafanana na Marekani?

Sijawa refa na ndio maana umenikosoa. Ningekuwa nimeamua usingeona button ya ku-reply.

Acheni kunung'unika, fanyeni kazi. Serikali ina CUF ndani yake na mnalo Baraza la Wawakilishi, haya maoni mliyonayo kama ndio ya wengi, basi yapitishieni Barazani na sio UAMSHO.
 
Hivi Sheikh Farid kapata passport ya hapa au bado anatumia ile ya arabuni? na hivi lile lighorofa lake mbele ya viwanja vya Malindi kamaliza? na besti wake Ghailani alielipuwa ubalozi wa USA dar mwaka 98 yuko wapi sasa?
 
kuna unguja na pemba nje ya muungao? wewe unaijua tarehe unguja ilipoungana na pemba? tumbatu na unguja? hiyo ni asili na asili na natural. lakini tarehe ya kuungana kwa zanzibar na tanganyika kwa nini inajulikana? more precisely ni unyang'anyi wa nchi uliofanya na kambarage.

Serikali yenu Ikulu ina wapemba wawili na M'bara mmoja au sio?

UAMSHO hoyeeeee!

Wapemba tusikubali kuburuzwa na waunguja.
 
Dola kuu mpya ya kiislamu itakayotoka lamu kenya kwa kupitia mombasa, zanzibar, daressalaam hadi mtwara yaani pwani yote ya east africa, ndio nia na madhumuni ya kazi waliyopewa kina ponda, farid, seifsharrif, sheikh rogo na wengine wengi, majeshi ya alshabaab na janjaweed yako tayari kusaidia, fedha hutoka iran na nyingine oman. Wapuuzeni tuone kama patakalika
 
Shida yenu ni kutojua nini mnataka na ndio maana mtaendelea kufanana na mbwa. Ni mbwa ndio huambiwa kamata naye akamng'ata mtu bila kujiuliza kama ipo sababu au kwa kuwa tu bwana kasema.

Hapa unaizungumzia UAMSHO kama 'kisingizio', hii ina maana yale yanayotoea mitaani wako hayakuwa na uzito kwa hiyo ni isingizio tu.

Nashangazwa na udini wenu, hivi Zanzibar hii mliyonayo ina haja ya vikundi vya kutetea Uislam? Unatetewa dhidi ya nini? Hilo sikuona ukilijibu. Au ilikuwa kwamba michoma makanisa ni haki yenu kwa hiyo yeyote anayewakataza anaivunja haki hiyo.

Wayahudi na Wamarekani na nyinyi watumwa wa Mwarabu wapi na wapi mp niwahusishe? Hata wewe unajua kuwa unaongea unafiki. Lakini ukweli huonekana kwa macho. Juzi tumeona Obama ambaye ni Mjaluo na ni just second generation ya Muafrika anakuwa Rais wa Marekani, jambo ambalo haliwezi kupokelewa Zanzibar. Tayari mnawawekea question mark mnaowadhania si wa visiwani kudhani wapo kwenye ikulu yenu, mnafanana na Marekani?

Sijawa refa na ndio maana umenikosoa. Ningekuwa nimeamua usingeona button ya ku-reply.

Acheni kunung'unika, fanyeni kazi. Serikali ina CUF ndani yake na mnalo Baraza la Wawakilishi, haya maoni mliyonayo kama ndio ya wengi, basi yapitishieni Barazani na sio UAMSHO.

1) Hata kama watu wote wakiwa waislamu, hiyo haiondoi haja ya kuwa na makundi ya kuupigania ili uendelee na mafundisho yake yafanyiwe kazi. Ni sawa na kusema Uswiss ni nchi yenye amani halafu ukauliza kwanini wana jeshi!! Kila mtu atakushangaa!!.
2) Kwa mtazamo wangu, wewe ukitaja waarabu, dhana yako kubwa ni Uislam ambao wewe unauchukia kutokana na udini ulionao.

3) Obama hayupo dhidi ya Wamarekani, ndio maana Wamarekani wanampenda. Kinyume chake ni kwamba mapandikizi ya viongozi aliowataja mleta mada wako dhidi ya ZNZ. Yaani, wanataka ZNZ iendelee kuwa koloni la Tanganyika.

4) Inawezekana kabisa kwamba Wazanzibar ni wachapakazi kuliko wewe, ingawaje sijui unafanya kazi gani hadi ukajiona uko juu kuliko wengine.

5) Manungúniko ni kitu cha kawaida kuonesha kuwa huridhiki na hali iliyopo. Hata wewe huachi kunung'unika kila siku.

6) Wastaarabu wanaamini kuwa kujibu matusi ni kuonesha kutokustaarabika pia. Kwa hiyo kwa matusi yako, naiachia jamii yako ikufundishe namna ya kujadiliana na watu vizuri. Hili linaweza kuwa somo la kukufanya siku nyingine ujirekebishe na kutumia lugha nzuri. Katika hili nitakuwa nafuatilia michango yako ili nione maandeleo ya somo nililokupa kuacha tabia ya matusi ili usiwadhalilishe wazazi wako waliokulea.
 
Dola kuu mpya ya kiislamu itakayotoka lamu kenya kwa kupitia mombasa, zanzibar, daressalaam hadi mtwara yaani pwani yote ya east africa, ndio nia na madhumuni ya kazi waliyopewa kina ponda, farid, seifsharrif, sheikh rogo na wengine wengi, majeshi ya alshabaab na janjaweed yako tayari kusaidia, fedha hutoka iran na nyingine oman. Wapuuzeni tuone kama patakalika

Who am I to question your way of thinking? Labda wewe ndio watu watakupuuza kwa sababu madai yako ni kama yale ya wengine ambayo yamejadiliwa bungeni yakaonekana pumba. Hayana hata ushahidi wa magazeti!
 
Wanauamsho hatutawaacha wapumue hata kidogo! Ukiwagusa kidogo tu wanaimba wimbo wa "sisi Wazanzibari" badala ya "sisi wanauamsho/CUF!" Hawa ukiwachekea utavuna mabua, nitari kuliko Al Qaeda, asikudanganye mtu!
 
Nakwambiaje Mkuu, ubongo wa Kakke akiwekewa mbwa wangu (Fox) nitawapa tu Wahehe wamtafune kwa maana atakuwa ameshakosa maana. Eti mtu anasema nchi yake kuwa na vikosi vya ulinzi ni dhulma, sasa unaweza kupata picha ana nia gani?

Ni sawa na serikali kuamua kujenga kituo cha polisi mtaani kwenu, halafu muandamane kuwa mnaonewa kwa nini kituo kijengwe mtaani kwenu. Unapata picha mkuu?

aah hawa jamaa wananipaga sana hasira ndo mana sitakagi hata kusoma posts zao, ukiwasikiliza utaona wanaonewa wenyewe wakati wao ndio wa kwanza kuvunja mali na majengo ya dini zingine alafu wakipewa kipigo wanalalamika wanaonewa, lakini sio makosa yao..ni makosa ya kukataa shule na kukimbilia madrasa
 
Ni kwa nini kila linapozuka suala la kuvunjika kwa muungano lazima kuwepo na udini?
 
Dola kuu mpya ya kiislamu itakayotoka lamu kenya kwa kupitia mombasa, zanzibar, daressalaam hadi mtwara yaani pwani yote ya east africa, ndio nia na madhumuni ya kazi waliyopewa kina ponda, farid, seifsharrif, sheikh rogo na wengine wengi, majeshi ya alshabaab na janjaweed yako tayari kusaidia, fedha hutoka iran na nyingine oman. Wapuuzeni tuone kama patakalika
how do you call your self great thinker. ?? this is the lowest level a member of this forum can go. duh hizi fikira unaonekana umdhalili hadi basi.
ufinyu wa mawazo
au i even dont know how to call it
 
..kutwa kujibana bana kwa tanganyika halafu mnataka kupumua mtapumuaje? Hebu sogeeni pembeni.......
 
Back
Top Bottom