Z'bar tuachwe tupumue...

Z'bar tuachwe tupumue...

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
Wakati umefika wa kila mtu kujitegemea au kujihami mwenyewe kwa lolote lile kwani kwa hali inavyokwenda Zanzibar hapana usalama wa Raia tena! Serikali iliopo imeshindwa na wao binafsi ndio chanzo cha matatizo Zanzibar.

Nasema hivi kwa mantiki ya kwamba Viongozi na Serikali ya Mapinduzi imeshindwa kulinda usalama wa Raia wake matokeo yake wao binafsi wamekuwa ni maadui wa Raia zao, kuwatesa na kuwatupa Magerezani bila hoja na sababu za msingi.

Ushahidi upo kwamba wao ndio wanaoandaa mipango hii yote.

Lengo ni kuifanya Zanzibar kuwa na mtafaruku wa wenyewe kwa wenyewe ili malengo ya Wahafidhina yatimie.

Uamsho ni kisingizio tu lakini kiini cha matatizo haya ni Viongozi wa serikali ya Zanzibar kushikwa shemere na Tanganyika.

Rais ameshindwa kuendesha Serikali badala yake amekuwa ni mshika usukani tu!usukani tu! ambao unaendeshwa kila upande hata kama gari itaingia shimoni,msingini yeye hana habari, alimradi yeye amepinda kona tu.

Nchi kama Nchi haiwezi kuongozwa kwa fitina na majungu kila uchao. Rais Shein Baraza la Mapinduzi na Viongozi wenzake wanashindwa kuelewa kwamba wanawaongoza binaadamu na sio wanyama wana fikra na maarifa yao.

Matukio yote ambayo yanatokea Zanzibar ni njama zilizopangwa na Tanganyika na kupata baraka zote za Wahafidhina ambao hawapo Zanzibar kwa maslahi ya Wananchi bali wapo kwa maslahi yao binafsi. Na yote haya yamekuja kutokana na Wazanzibar kupinga dhulma ya kuporwa kwa Nchi yao.

Wazanzibar wamechoka kutawaliwa na Tanganyika hivi kwa nini hawaachiwi Wazanzibar nnchi yao wakaendesha mambo yao wenyewe?

Viongozi wa juu wa C.C.M wana kila sababu ya kuwadhulumu Wazanzibar kwa vile wao hawana uchungu na Nchi wala na Raia wa zanzibar, Na hao viongozi wengi wao hawana asili ya Zanzibar wamepandikizwa kwa maslahi ya Tanganyika.

Viongozi hao wanafaidika na jasho la Wazanzibari ndio maana Tanganyika kwa kupitia maajenti wao wanafanya kila kinachowezekana kuikaba roho Zanzibar hata kama damu ikimwagika basi wako tayari kwa hilo.

Tukimuangalia Rais wetu tokea hapo awali hakuwa na mvuto lakini pia hao C.C.M wenyewe Zanzibar hawakumpa baraka zao. Kilichotokea ni mabavu na kuwekwa kinguvu na Tanganyika hichi kitu kila mtu anaelewa. Watanganyika walielewa kwamba kazi waliompa Dr Shein ataifanya vilivyo. Wazanzibar kuna mengi bado yanakuja kupitia bwana huyu Mungu tuweke hai tumuone.

Kama ni hivyo sisi kama Wazanzibar tutegemee nini kwa mtu ambae nafasi aliyonayo ni hidaya tu kutoka kwa Mtawala Tanganyika ! Shein kama Shein yupo kwenye kiti kama Punda na hatamu aliebeba mzigo anafuata ,hawashi wala hazimi.

Tumuangalie Seif Iddi naamini hata hilo jina ni la kupanga kwani yeye binafsi hana hata hisia wala maji ya Uzanzibar. Amewekwa pale kuwa kama ni usalama na balozi ambae anaiwakilisha Tanganyika na kutoa Taarifa mihimu kwa Tanganyika. Hapa ndio kiukioni mwa fitina na unyanyasaji kwa upande wa Wazanzibar.

Seif Iddi hayupo Zanzibar kama kiongozi lakini yupo kwa kufanya kazi kama ajenti na Muwakilishi wa Tanganyika. Wazanzibar wasishangae na matusi wala fitina za Balozi huyu kwani yeye hana hasara hata mukichinjana yeye hajali wakati majumba yake ya fahari yako kwao Bara Zanzibar yuko kibaruani tu!

Mukitaka kujua udhaifu na unafiki wa Kiongozi huyu muangalieni kwenye uchaguzi mdogo uliopita pale Bububu jinsi ya hisia zake,alishindwa kujizuia na kutoa yale ambayo yamo kwenye moyo wake,chuki na fitina kwa Wazanzibar.

Kiongozi ambae anashindwa kufuata maadili ya uongozi na badala yake anawachochea Raia zake kufanya fujo na kupigana huku anapongeza na kuwapa baraka zote Wahusika, kweli huyu ni kiongozi muadilifu? Kweli kama si ajenti ni nani twambieni?

Lakini pia hata Elimu yake haifanani na cheo chake. Inakuwaje yeye kama Makamo wa Rais shughuli za Serikali ya Zanzibar azifanyie Tanganyika kwenye Majumba yake binafsi pale Dar na nyingine kule Dodoma, Jee hakuna ofisi Zanzibar kwa Wageni kufikia na kupanga mipango ya Nchi?

Hii ni kuonesha jeuri na ulwa alionao lakini akumbuke ya kwamba iko siku ataulizwa na ajiandae na majibu hivi sasa. Sote tunaelewa kwamba uongozi ni dhamana lakini pia hakuna refu lisilo na mwisho . Viongozi wengi kama yeye wamepita na hivi leo hawatajwi tena ila kilichobaki katika nafsi yao ni majuto na huzuni tu kwa yale walioyafanya.

Tujiulize kiongozi kama huyu ambae ana raslimali chungu mbovu kule Tanganyika ambako ni kwao, kweli atawatetea Wazanzibar wanyonge wanaodai haki zao hapa Zanzibar? Hivi kila siku tutapangiwa Maajenti na Tanganyika na kutunyanyasa mpaka lini na kutuharibia udugu wetu wa asili, hawa akina Seif Iddi ndio wanaoleta ubaguzi Zanzibar.

Angalieni michango ya maafa iliochangiwa ni Mzanzibar gani aliefaidika? Mtu kafiliwa na familia mzima anaenda kupewa ubani laki moja wakati michango ya mabilioni imetolewa, hivi pesa hizi zimetumikaje! Ndio maana Balozi huyu akawa na jeuri kwani mifuko yake imetuna, kwa maana hiyo ana kila sababu kuwagombanisha Wazanzibar.

Tumuangalie Waziri Mohamed Aboud ameingia katika medali ya siasa baada ya kupata ngekewa ya vita vya panzi kupigana, yeye kama Kunguru Rais Karume akampa nafasi. Mheshimiwa huyu hakufanya kosa akatia fitina na baadae kujipendekeza Tanganyika. Kiongozi kama huyu lazima aabudu na asujudu kwa mabwana zake,sishangai kuona anawachukia hata wale watetezi wa uislamu na nchi yetu, analipa fadhila.

Mheshimiwa Mohamed Aboud hana Elimu na ni dhahiri kwamba alifoji hata Elimu yake na hili lipo wazi na ndio sababu hata ya kukosa nafasi ya kupigania kiti cha Urais Zanzibar. Kama sio kashifa hii kuwa wazi wazi basi leo hii Mohammed Aboud angekuwa ameshasimbikwa Urais kwani hapa petu hatuchagui, tunasimbikiwa kutoka Tanganyika tu.

Lakini hili limefumbiwa macho na Tanganyika, kwa sababu Watanganyika lengo lao sio mtu mwenye Elimu Zanzibar akawahangaisha bali wanahitaji mapocho wenye kupenda posho huku Tanganyika ikiendelea na biashara yake "as usual".

Tuangalieni viongozi wengi katika Baraza la kutunga sheria wengi wao hawana Elimu inayohitajika kwa nafasi walizopewa,inakuwaje mtu kujifurahisha na kujitapa na Cheti cha ubaharia, hivi ubaharia na utungaji wa sheria ni wapi na wapi? Yote haya yamepangwa hayakuja kibahati mbaya, Tanganyika wanaelewa wanachokifanya.

Kweli kiongozi kama huyo atakuwa na uwezo wa kuitetea Zanzibar na Wananchi wake au atakuwa yupo kwa maslahi yake binafsi huku akiitikia hewala bwana,alimradi posho inaingia. Hawa ndio wengi wa viongozi wetu wanaoendesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Hivi Wananchi wategemee nini kutoka kwao isipokuwa matusi tu na kuiuza Nchi?

Kiongozi kama huyo kweli ataitetea Zanzibar awaudhi mabwana zake walio mchagua na kumpa uwakala wa kuichuuza Zanzibar? hilo haliwezekani abadani! na hawa ndio wengi wao viongozi wetu ndani ya Chama changu nikipendacho cha C.C.M walivyo.

Suala la mageuzi kwao ni mwiko hata kama Zanzibar itaharikishwa na sababu kuwa ni wao basi wako tayari kwa hilo.

Tumtupie macho Dk. Mwinyihaji na udokta wake na vikosi vyake anavyo ongoza.

Kwa kweli ni jambo la kushangaza kuona kwamba mawazo yake na Elimu yake ni vitu tofauti, Anachojali ni maslahi binafsi yeye na familia yake lakini uzalendo wa NCHI yeye hana kabisaa.
Zanzibar ni Visiwa vidogo sana lakini ina vikosi vya ulinzi hata hayo Mataifa makubwa Duniani hayana, hii inakuwaje lengo hapa ni dhulma tu.

Inapofika wakati ukaamrisha vikosi vyako vya ulinzi kuwashambulia Raia wako wewe kama kiongozi unaipeleka Nchi yako wapi? Kimawazo yangu ni kwamba unazidisha uhasama ndani ya jamii,lakini pia wewe kama kiongozi na kiongozi wa Serikali utegemee kuona kama hichi kinachotokea hivi sasa Zanzibar,Vurugu na watu kuteswa bila sababu kosa eti hawautaki Muungano sio haki!

Kinachoendelea hivi sasa Zanzibar ni mipango mahususi ilioandaliwa na yeye akiwa ni muandaaji mkuu wa hayo. Elimu yake ni sawa na punda aliebeba vitabu lakini maskini kilichoandikwa hakijui. Lakini pia cheo na umri wake naona unamkanganya,anahisi ataishi milele,basi sheikh wangu hukumbuki hata akhera yako! mwisho wa yote ni wapi? Hao makachero uliwaleta kutoka Bara ni bure tu Wazanzibar wataendelea kudai haki yao "for sure"

Sasa tuelekee kwa Waimarishaji wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar,hawa ni akina Borafya,Shamte na wenzake hawana hata chembe ya imani,ubinaadam,uungwana nathubutu kusema kwamba ni kondoo waliopotea,hawana huruma kama wao ni miongoni mwa jamii watu. Maisha yao yote ni hasadi,fitina na majungu huku wakifanya dhulma ya kuwafitinisha Wazanzibar.

Umri wangu sio mdogo lakini tokea kuwa na akili yangu timamu sijawahi kuona viongozi wa chama kufanya mikutano na kutukana matusi ya nguoni bila kisisi chochote huku televisheni na vyombo vya habari vikionyesha na kutoa habari hizo. Serikali ina washauri hivi kazi yao hao washauri ni nini? maanake ni dhahiri huku tunakoelekea kwa mtindo wa kina Borafya ni kuelekea Jahhanam.

Hizi sio silka na tamaduni za Wazanzibar na mtu yeyote ambae utamuona anafanya vitendo kama hivyo basi ujue huyo sio Mzanzibar bali ni mtu wa kuja Visiwani na ana lake jambo, kufitinisha na kugombanisha kwa maslahi maalumu au ametumwa kufanya hivyo kwa dhana na malengo maalum,Wazanzibar tusikubali kuelekea huko, tupambane kiume.

Kamishina wa Polisi Zanzibar, Waswahili wana msemo unasema mcheza kwao hutuzwa. Kamishina ni mtu ambae hajui hata uongozi ni kitu, hajui baya wala jema,ni muongo na mnafiki hata sura yake tu ukimuona basi utajua ni mtu wa aina gani? Anashindwa hata kupanga uongo wenye muelekeo. Nilitegemea kuona kiongozi kama huyu anaheshimu cheo chake kama mlinda usalama wa Raia lakini yeye amekuwa msimamiaji wa sera za akina Borafya ndani ya C.C.M.

Kamishina huyu ni bendera inafuata upepo licha ya kufanya kazi kisayansi lakini ni dhahiri kwamba kichwa chake kina uhaba wa Elimu! Elimu yake na majukumu alopewa ni sawa na mbingu na ardhi kwa maana hiyo sishangai sana na jinsi anavyowadhalilisha Wazanzibar wenzake.

Anachojaribu kukifanya ni kujikweza ili aweze kubakia kwenye nafasi aliyopo kwani bila kuwa Mdhabi-dhabina na mnafiki kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na ile ya Tanganyika basi wewe huna nafasi hili linaeleweka.

Nimalizie kwa kusema kwamba Mchimba kisima huingia mwenyewe, Viongozi wa c.c.m na Serikali yetu ya Mapinduzi, imechimba Visima ihakikishe kwamba ikiwa haitakuwa makini basi wataingia wenyewe kwani Wazanzibar wameshachoka na dhulma Zao. Uvumilivu una mwisho wake, hivi sasa Zanzibar imegeuka Paka alofungiwa kwenye chumba na ameshajua kwamba anakufa kwa mateso,hana budi na yeye kujihami kwa njia yeyote ile.

Kutokana na hili ilivyo ikiwa Dokta Shein ataendelea kuongozwa na Tanganyika(Bara) kufuata ushauri wa Wahafidhina kama hivi anavyowafanyia Wazanzibar Muda huu wote, basi na aelewe wazi kwamba atayarishe mageraza mengi kama Firaun na serikali zake lakini Wazanzibar hawatorudi nyuma tena kupigania haki yao ya msingi, Na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kwanza.
 
Hii tabia ya kumsaka mchawi wa matatizo ya Wazanzibari inatakiwa iende kasi kidogo maana inachosha! How long is this going to take? Siku zote kuna mtu kasababisha matatizo yenu?? Lini mtathubutu kujiangalia wenyewe na kutambua kuwa tatizo liko ndani yenu, na suluhu iko ndani yenu na sio nje?? Kulia lia tuuuuu????
 
chanzo cha matatizo zanzibar ni nyie wazanzibari wenyewe...nyie watu wa ajabu sana...mnaonaga wenye makosa zenji ni serikali na wakristo...nyie mko safi kabisa hamna kosa....mother ********, toeni upuuzi wenu hapa
 
Nilitamani kutoona udini kwenye maandishi marefu haya lkn haikuwezekana. Kwa hiyo we Mpemba unamaanisha kuwa Seif Idi ni jina la Bara na Seif Sharrif Hamad ni jina la visiwani, asante kwa elimu.
Kiongozi kama huyu lazima aabudu na asujudu kwa mabwana zake,sishangai kuona anawachukia hata wale watetezi wa uislamu na nchi yetu,analipa fadhila.
Sasa hapa ndio utaahira huonekana bila hadubini. Uislam utetewe Zanzibar ambako mwezi wa ramadhani hata ambaye si muislamu huruhusiwi kula? Au unatetewa dhidi ya nani, mi napata shida kuwaelewa nyinyi watu!

Hivi kuishi bila kutumwa na Mwarabu kwenu ni adhabu, eti?

Hebu ona utumbo huu ulioandika sijui ndio umefundishwa na nani...
Zanzibar ni Visiwa vidogo sana lakini ina vikosi vya ulinzi hata hayo Mataifa makubwa Duniani hayana, hii inakuwaje lengo hapa ni dhulma tu
Nikisema hawa mbwa wanatumwa mtakataa wanaJF? Huyu kibaraka kajinadi kuwa yeye ni Mzanzibari, lkn cha kushangaza, anachukia Zanzibar kuwa na ulinzi zaidi ya mataifa makubwa, kwa hiyo utona hapa kuwa, huyu Punda ana bwana zake nje (Huko uarabuni) ambao maslahi yao yanakwamishwa na uwepo wa vikosi vya ulinzi imara Zanzibar.

Kwa mujibu wa huyu kibaraka Kakke, Zanzibar kuwa na ulinzi ni DHULMA, sasa sijui anadhulumiwa nani. Yaani natamani kama ningekuwa ndio mkuu wa Polisi wa Zanzibar, naona tangu wamemmenya kichwa yule mmoja zoezi limedorora. Hawa ni wa kuua kabisa
 
Last edited by a moderator:
chanzo cha matatizo zanzibar ni nyie wazanzibari wenyewe...nyie watu wa ajabu sana...mnaonaga wenye makosa zenji ni serikali na wakristo...nyie mko safi kabisa hamna kosa....mother ********, toeni upuuzi wenu hapa

Nakwambiaje Mkuu, ubongo wa Kakke akiwekewa mbwa wangu (Fox) nitawapa tu Wahehe wamtafune kwa maana atakuwa ameshakosa maana. Eti mtu anasema nchi yake kuwa na vikosi vya ulinzi ni dhulma, sasa unaweza kupata picha ana nia gani?

Ni sawa na serikali kuamua kujenga kituo cha polisi mtaani kwenu, halafu muandamane kuwa mnaonewa kwa nini kituo kijengwe mtaani kwenu. Unapata picha mkuu?
 
Hivi Sheikh Farid hakuwa nyumbani kwa Mansour Yusuf Himid? msicheze na mbinu za kimapinduzi nyie.
 
Walikuwa wanafanya nini sehemu ya faraga siku zote hizo?Ogopa sana mambo ya Zanzibar,lamu,na mombasa!
Shekhe wangu sasa weye anaenda mbali, naam Mansour ni basha hevi la Malindi, na ana umaarufu wa kulala na mawaziri fulani wa kiume, lakini kwa madevu sheikh farid sidhani kama anatoa Marhaba
 
hivi huyu anamjibu yule mwenzake???? wa zenji........ anzieni ndani, huku nje mbona hamna tabu? Mnajua nini mnataka? mpo pamoja? UAMSHO ni sehemu yenu?. Ukweli hamna zanzibar baada ya muungano, kuna Pemba na Ungunja!! Hivi mnajua nani mzenji na nani nusu-mzenji na nani siyo mzenji?, hapa bara wapemba wana majumba lukuki, hao naao?
mwisho sielewi objectivive ya ujembe huu!! wasted my time!!
Wakatabahu
 
Mkuu nani anawabana wazanzibar,unafiki ndio unawaua wazanzibar,lakini uamsho watawafikisha mbali saizi,katika kuipigania zanzibar yenu!!!!!!!!!!!
 
Shekhe wangu sasa weye anaenda mbali, naam Mansour ni basha hevi la Malindi, na ana umaarufu wa kulala na mawaziri fulani wa kiume, lakini kwa madevu sheikh farid sidhani kama anatoa Marhaba
Mkuu ndevu za sheh farid hazizuii mambo kufanyika,huyu sheh hana hiana,ni mtu wa watu si unaona tumemnyoa hizo ndevu na tumpaka mafuta na sasa anapendeza,mtoto mashallah!
 
Uamsho walipanga kwenda hadi ikulu kwa style ya Egypt, na ndio maana kuna viongozi kama Mansouri na Jussa waliachia kazi zao ili waingie kwenye mapinduzi, ndio Sheikh Farid akajificha nyumbani nasema nyumbani kwa Mansour ili wapate sababu, yaani wenyewe wamefurahi siku za fujo kwani ni andalizi la kisomi
 
Wakati umefika wa kila mtu kujitegemea au kujihami mwenyewe kwa lolote lile kwani kwa hali inavyokwenda Zanzibar hapana usalama wa Raia tena! Serikali iliopo imeshindwa na wao binafsi ndio chanzo cha matatizo Zanzibar.

Nasema hivi kwa mantiki ya kwamba Viongozi na Serikali ya Mapinduzi imeshindwa kulinda usalama wa Raia wake matokeo yake wao binafsi wamekuwa ni maadui wa Raia zao, kuwatesa na kuwatupa Magerezani bila hoja na sababu za msingi.

Ushahidi upo kwamba wao ndio wanaoandaa mipango hii yote.

Lengo ni kuifanya Zanzibar kuwa na mtafaruku wa wenyewe kwa wenyewe ili malengo ya Wahafidhina yatimie.

Uamsho ni kisingizio tu lakini kiini cha matatizo haya ni Viongozi wa serikali ya Zanzibar kushikwa shemere na Tanganyika.

Rais ameshindwa kuendesha Serikali badala yake amekuwa ni mshika usukani tu!usukani tu! ambao unaendeshwa kila upande hata kama gari itaingia shimoni,msingini yeye hana habari, alimradi yeye amepinda kona tu.

Nchi kama Nchi haiwezi kuongozwa kwa fitina na majungu kila uchao. Rais Shein Baraza la Mapinduzi na Viongozi wenzake wanashindwa kuelewa kwamba wanawaongoza binaadamu na sio wanyama wana fikra na maarifa yao.

Matukio yote ambayo yanatokea Zanzibar ni njama zilizopangwa na Tanganyika na kupata baraka zote za Wahafidhina ambao hawapo Zanzibar kwa maslahi ya Wananchi bali wapo kwa maslahi yao binafsi. Na yote haya yamekuja kutokana na Wazanzibar kupinga dhulma ya kuporwa kwa Nchi yao.

Wazanzibar wamechoka kutawaliwa na Tanganyika hivi kwa nini hawaachiwi Wazanzibar nnchi yao wakaendesha mambo yao wenyewe?

Viongozi wa juu wa C.C.M wana kila sababu ya kuwadhulumu Wazanzibar kwa vile wao hawana uchungu na Nchi wala na Raia wa zanzibar, Na hao viongozi wengi wao hawana asili ya Zanzibar wamepandikizwa kwa maslahi ya Tanganyika.

Viongozi hao wanafaidika na jasho la Wazanzibari ndio maana Tanganyika kwa kupitia maajenti wao wanafanya kila kinachowezekana kuikaba roho Zanzibar hata kama damu ikimwagika basi wako tayari kwa hilo.

Tukimuangalia Rais wetu tokea hapo awali hakuwa na mvuto lakini pia hao C.C.M wenyewe Zanzibar hawakumpa baraka zao. Kilichotokea ni mabavu na kuwekwa kinguvu na Tanganyika hichi kitu kila mtu anaelewa. Watanganyika walielewa kwamba kazi waliompa Dr Shein ataifanya vilivyo. Wazanzibar kuna mengi bado yanakuja kupitia bwana huyu Mungu tuweke hai tumuone.

Kama ni hivyo sisi kama Wazanzibar tutegemee nini kwa mtu ambae nafasi aliyonayo ni hidaya tu kutoka kwa Mtawala Tanganyika ! Shein kama Shein yupo kwenye kiti kama Punda na hatamu aliebeba mzigo anafuata ,hawashi wala hazimi.

Tumuangalie Seif Iddi naamini hata hilo jina ni la kupanga kwani yeye binafsi hana hata hisia wala maji ya Uzanzibar. Amewekwa pale kuwa kama ni usalama na balozi ambae anaiwakilisha Tanganyika na kutoa Taarifa mihimu kwa Tanganyika. Hapa ndio kiukioni mwa fitina na unyanyasaji kwa upande wa Wazanzibar.

Seif Iddi hayupo Zanzibar kama kiongozi lakini yupo kwa kufanya kazi kama ajenti na Muwakilishi wa Tanganyika. Wazanzibar wasishangae na matusi wala fitina za Balozi huyu kwani yeye hana hasara hata mukichinjana yeye hajali wakati majumba yake ya fahari yako kwao Bara Zanzibar yuko kibaruani tu!

Mukitaka kujua udhaifu na unafiki wa Kiongozi huyu muangalieni kwenye uchaguzi mdogo uliopita pale Bububu jinsi ya hisia zake,alishindwa kujizuia na kutoa yale ambayo yamo kwenye moyo wake,chuki na fitina kwa Wazanzibar.

Kiongozi ambae anashindwa kufuata maadili ya uongozi na badala yake anawachochea Raia zake kufanya fujo na kupigana huku anapongeza na kuwapa baraka zote Wahusika, kweli huyu ni kiongozi muadilifu? Kweli kama si ajenti ni nani twambieni?

Lakini pia hata Elimu yake haifanani na cheo chake. Inakuwaje yeye kama Makamo wa Rais shughuli za Serikali ya Zanzibar azifanyie Tanganyika kwenye Majumba yake binafsi pale Dar na nyingine kule Dodoma, Jee hakuna ofisi Zanzibar kwa Wageni kufikia na kupanga mipango ya Nchi?

Hii ni kuonesha jeuri na ulwa alionao lakini akumbuke ya kwamba iko siku ataulizwa na ajiandae na majibu hivi sasa. Sote tunaelewa kwamba uongozi ni dhamana lakini pia hakuna refu lisilo na mwisho . Viongozi wengi kama yeye wamepita na hivi leo hawatajwi tena ila kilichobaki katika nafsi yao ni majuto na huzuni tu kwa yale walioyafanya.

Tujiulize kiongozi kama huyu ambae ana raslimali chungu mbovu kule Tanganyika ambako ni kwao, kweli atawatetea Wazanzibar wanyonge wanaodai haki zao hapa Zanzibar? Hivi kila siku tutapangiwa Maajenti na Tanganyika na kutunyanyasa mpaka lini na kutuharibia udugu wetu wa asili, hawa akina Seif Iddi ndio wanaoleta ubaguzi Zanzibar.

Angalieni michango ya maafa iliochangiwa ni Mzanzibar gani aliefaidika? Mtu kafiliwa na familia mzima anaenda kupewa ubani laki moja wakati michango ya mabilioni imetolewa, hivi pesa hizi zimetumikaje! Ndio maana Balozi huyu akawa na jeuri kwani mifuko yake imetuna, kwa maana hiyo ana kila sababu kuwagombanisha Wazanzibar.

Tumuangalie Waziri Mohamed Aboud ameingia katika medali ya siasa baada ya kupata ngekewa ya vita vya panzi kupigana, yeye kama Kunguru Rais Karume akampa nafasi. Mheshimiwa huyu hakufanya kosa akatia fitina na baadae kujipendekeza Tanganyika. Kiongozi kama huyu lazima aabudu na asujudu kwa mabwana zake,sishangai kuona anawachukia hata wale watetezi wa uislamu na nchi yetu, analipa fadhila.

Mheshimiwa Mohamed Aboud hana Elimu na ni dhahiri kwamba alifoji hata Elimu yake na hili lipo wazi na ndio sababu hata ya kukosa nafasi ya kupigania kiti cha Urais Zanzibar. Kama sio kashifa hii kuwa wazi wazi basi leo hii Mohammed Aboud angekuwa ameshasimbikwa Urais kwani hapa petu hatuchagui, tunasimbikiwa kutoka Tanganyika tu.

Lakini hili limefumbiwa macho na Tanganyika, kwa sababu Watanganyika lengo lao sio mtu mwenye Elimu Zanzibar akawahangaisha bali wanahitaji mapocho wenye kupenda posho huku Tanganyika ikiendelea na biashara yake "as usual".

Tuangalieni viongozi wengi katika Baraza la kutunga sheria wengi wao hawana Elimu inayohitajika kwa nafasi walizopewa,inakuwaje mtu kujifurahisha na kujitapa na Cheti cha ubaharia, hivi ubaharia na utungaji wa sheria ni wapi na wapi? Yote haya yamepangwa hayakuja kibahati mbaya, Tanganyika wanaelewa wanachokifanya.

Kweli kiongozi kama huyo atakuwa na uwezo wa kuitetea Zanzibar na Wananchi wake au atakuwa yupo kwa maslahi yake binafsi huku akiitikia hewala bwana,alimradi posho inaingia. Hawa ndio wengi wa viongozi wetu wanaoendesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Hivi Wananchi wategemee nini kutoka kwao isipokuwa matusi tu na kuiuza Nchi?

Kiongozi kama huyo kweli ataitetea Zanzibar awaudhi mabwana zake walio mchagua na kumpa uwakala wa kuichuuza Zanzibar? hilo haliwezekani abadani! na hawa ndio wengi wao viongozi wetu ndani ya Chama changu nikipendacho cha C.C.M walivyo.

Suala la mageuzi kwao ni mwiko hata kama Zanzibar itaharikishwa na sababu kuwa ni wao basi wako tayari kwa hilo.

Tumtupie macho Dk. Mwinyihaji na udokta wake na vikosi vyake anavyo ongoza.

Kwa kweli ni jambo la kushangaza kuona kwamba mawazo yake na Elimu yake ni vitu tofauti, Anachojali ni maslahi binafsi yeye na familia yake lakini uzalendo wa NCHI yeye hana kabisaa.
Zanzibar ni Visiwa vidogo sana lakini ina vikosi vya ulinzi hata hayo Mataifa makubwa Duniani hayana, hii inakuwaje lengo hapa ni dhulma tu.

Inapofika wakati ukaamrisha vikosi vyako vya ulinzi kuwashambulia Raia wako wewe kama kiongozi unaipeleka Nchi yako wapi? Kimawazo yangu ni kwamba unazidisha uhasama ndani ya jamii,lakini pia wewe kama kiongozi na kiongozi wa Serikali utegemee kuona kama hichi kinachotokea hivi sasa Zanzibar,Vurugu na watu kuteswa bila sababu kosa eti hawautaki Muungano sio haki!

Kinachoendelea hivi sasa Zanzibar ni mipango mahususi ilioandaliwa na yeye akiwa ni muandaaji mkuu wa hayo. Elimu yake ni sawa na punda aliebeba vitabu lakini maskini kilichoandikwa hakijui. Lakini pia cheo na umri wake naona unamkanganya,anahisi ataishi milele,basi sheikh wangu hukumbuki hata akhera yako! mwisho wa yote ni wapi? Hao makachero uliwaleta kutoka Bara ni bure tu Wazanzibar wataendelea kudai haki yao "for sure"

Sasa tuelekee kwa Waimarishaji wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar,hawa ni akina Borafya,Shamte na wenzake hawana hata chembe ya imani,ubinaadam,uungwana nathubutu kusema kwamba ni kondoo waliopotea,hawana huruma kama wao ni miongoni mwa jamii watu. Maisha yao yote ni hasadi,fitina na majungu huku wakifanya dhulma ya kuwafitinisha Wazanzibar.

Umri wangu sio mdogo lakini tokea kuwa na akili yangu timamu sijawahi kuona viongozi wa chama kufanya mikutano na kutukana matusi ya nguoni bila kisisi chochote huku televisheni na vyombo vya habari vikionyesha na kutoa habari hizo. Serikali ina washauri hivi kazi yao hao washauri ni nini? maanake ni dhahiri huku tunakoelekea kwa mtindo wa kina Borafya ni kuelekea Jahhanam.

Hizi sio silka na tamaduni za Wazanzibar na mtu yeyote ambae utamuona anafanya vitendo kama hivyo basi ujue huyo sio Mzanzibar bali ni mtu wa kuja Visiwani na ana lake jambo, kufitinisha na kugombanisha kwa maslahi maalumu au ametumwa kufanya hivyo kwa dhana na malengo maalum,Wazanzibar tusikubali kuelekea huko, tupambane kiume.

Kamishina wa Polisi Zanzibar, Waswahili wana msemo unasema mcheza kwao hutuzwa. Kamishina ni mtu ambae hajui hata uongozi ni kitu, hajui baya wala jema,ni muongo na mnafiki hata sura yake tu ukimuona basi utajua ni mtu wa aina gani? Anashindwa hata kupanga uongo wenye muelekeo. Nilitegemea kuona kiongozi kama huyu anaheshimu cheo chake kama mlinda usalama wa Raia lakini yeye amekuwa msimamiaji wa sera za akina Borafya ndani ya C.C.M.

Kamishina huyu ni bendera inafuata upepo licha ya kufanya kazi kisayansi lakini ni dhahiri kwamba kichwa chake kina uhaba wa Elimu! Elimu yake na majukumu alopewa ni sawa na mbingu na ardhi kwa maana hiyo sishangai sana na jinsi anavyowadhalilisha Wazanzibar wenzake.

Anachojaribu kukifanya ni kujikweza ili aweze kubakia kwenye nafasi aliyopo kwani bila kuwa Mdhabi-dhabina na mnafiki kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na ile ya Tanganyika basi wewe huna nafasi hili linaeleweka.

Nimalizie kwa kusema kwamba Mchimba kisima huingia mwenyewe, Viongozi wa c.c.m na Serikali yetu ya Mapinduzi, imechimba Visima ihakikishe kwamba ikiwa haitakuwa makini basi wataingia wenyewe kwani Wazanzibar wameshachoka na dhulma Zao. Uvumilivu una mwisho wake, hivi sasa Zanzibar imegeuka Paka alofungiwa kwenye chumba na ameshajua kwamba anakufa kwa mateso,hana budi na yeye kujihami kwa njia yeyote ile.

Kutokana na hili ilivyo ikiwa Dokta Shein ataendelea kuongozwa na Tanganyika(Bara) kufuata ushauri wa Wahafidhina kama hivi anavyowafanyia Wazanzibar Muda huu wote, basi na aelewe wazi kwamba atayarishe mageraza mengi kama Firaun na serikali zake lakini Wazanzibar hawatorudi nyuma tena kupigania haki yao ya msingi, Na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kwanza.
kumbe huko hampumui?
 
Kwa aliyefika Zanzibar hasa Pemba kwenye wapiga kelele za kujitenga lazima atahisi kuwa kelele za kujitenga zina mwarabu nyuma yake. Maana unajiuliza wata sustain vipi hawa bila Muungano hupati jibu
 
Nilitamani kutoona udini kwenye maandishi marefu haya lkn haikuwezekana. Kwa hiyo we Mpemba unamaanisha kuwa Seif Idi ni jina la Bara na Seif Sharrif Hamad ni jina la visiwani, asante kwa elimu.

Sasa hapa ndio utaahira huonekana bila hadubini. Uislam utetewe Zanzibar ambako mwezi wa ramadhani hata ambaye si muislamu huruhusiwi kula? Au unatetewa dhidi ya nani, mi napata shida kuwaelewa nyinyi watu!

Hivi kuishi bila kutumwa na Mwarabu kwenu ni adhabu, eti?

Hebu ona utumbo huu ulioandika sijui ndio umefundishwa na nani...
Nikisema hawa mbwa wanatumwa mtakataa wanaJF? Huyu kibaraka kajinadi kuwa yeye ni Mzanzibari, lkn cha kushangaza, anachukia Zanzibar kuwa na ulinzi zaidi ya mataifa makubwa, kwa hiyo utona hapa kuwa, huyu Punda ana bwana zake nje (Huko uarabuni) ambao maslahi yao yanakwamishwa na uwepo wa vikosi vya ulinzi imara Zanzibar.

Kwa mujibu wa huyu kibaraka Kakke, Zanzibar kuwa na ulinzi ni DHULMA, sasa sijui anadhulumiwa nani. Yaani natamani kama ningekuwa ndio mkuu wa Polisi wa Zanzibar, naona tangu wamemmenya kichwa yule mmoja zoezi limedorora. Hawa ni wa kuua kabisa

Watu waliokosa malezi wanamatatizo sana. Matusi yote ya nini? Mbwa, taahira, kibaraka n.k yana haja gani? Hivi wewe kuchangia ndio ina maana una akili kuliko wote au mawazo yako ni bora kuliko ya wengine?

1) Mwandishi anaposema kwamba vikosi vya ulinzi viko vingi ZNZ hana maana kwamba anapinga ZNZ kuwa na ulinzi wa kutosha. Maana yake ni kwamba hawa wote wanapelekwa ZNZ kwnda kudhulumu watu wanapopata vijisabu. Mfano nyakati za uchaguzi na visingizio vingine kama Uamsho n.k. Kwani ni nani asiyejua kuwa nyakati za uchaguzi vikosi vya ulinzi kwa kiasi kikubwa vinashirki kufanya dhulma na uonevu kwa wanachi wa ZNZ?

2) Wewe mwenyewe unaonekana unakereka kutoka na udini ulio nao. Kwa nini unataja waarabu badala ya mayahudi, wamarekani au watu wengine?

3) Ulitakiwa ujadili hoja alizotowa halafu uache wasomaji wakuone una akili sio kujifanya mchezaji na wakati huo huo referee pia. Acha hizo!
 
wakati umefika wa kila mtu kujitegemea au kujihami mwenyewe kwa lolote lile kwani kwa hali inavyokwenda zanzibar hapana usalama wa raia tena! Serikali iliopo imeshindwa na wao binafsi ndio chanzo cha matatizo zanzibar.

nasema hivi kwa mantiki ya kwamba viongozi na serikali ya mapinduzi imeshindwa kulinda usalama wa raia wake matokeo yake wao binafsi wamekuwa ni maadui wa raia zao, kuwatesa na kuwatupa magerezani bila hoja na sababu za msingi.

ushahidi upo kwamba wao ndio wanaoandaa mipango hii yote.

lengo ni kuifanya zanzibar kuwa na mtafaruku wa wenyewe kwa wenyewe ili malengo ya wahafidhina yatimie.

uamsho ni kisingizio tu lakini kiini cha matatizo haya ni viongozi wa serikali ya zanzibar kushikwa shemere na tanganyika.

rais ameshindwa kuendesha serikali badala yake amekuwa ni mshika usukani tu!usukani tu! Ambao unaendeshwa kila upande hata kama gari itaingia shimoni,msingini yeye hana habari, alimradi yeye amepinda kona tu.

nchi kama nchi haiwezi kuongozwa kwa fitina na majungu kila uchao. Rais shein baraza la mapinduzi na viongozi wenzake wanashindwa kuelewa kwamba wanawaongoza binaadamu na sio wanyama wana fikra na maarifa yao.

matukio yote ambayo yanatokea zanzibar ni njama zilizopangwa na tanganyika na kupata baraka zote za wahafidhina ambao hawapo zanzibar kwa maslahi ya wananchi bali wapo kwa maslahi yao binafsi. Na yote haya yamekuja kutokana na wazanzibar kupinga dhulma ya kuporwa kwa nchi yao.

wazanzibar wamechoka kutawaliwa na tanganyika hivi kwa nini hawaachiwi wazanzibar nnchi yao wakaendesha mambo yao wenyewe?

viongozi wa juu wa c.c.m wana kila sababu ya kuwadhulumu wazanzibar kwa vile wao hawana uchungu na nchi wala na raia wa zanzibar, na hao viongozi wengi wao hawana asili ya zanzibar wamepandikizwa kwa maslahi ya tanganyika.

viongozi hao wanafaidika na jasho la wazanzibari ndio maana tanganyika kwa kupitia maajenti wao wanafanya kila kinachowezekana kuikaba roho zanzibar hata kama damu ikimwagika basi wako tayari kwa hilo.

tukimuangalia rais wetu tokea hapo awali hakuwa na mvuto lakini pia hao c.c.m wenyewe zanzibar hawakumpa baraka zao. Kilichotokea ni mabavu na kuwekwa kinguvu na tanganyika hichi kitu kila mtu anaelewa. Watanganyika walielewa kwamba kazi waliompa dr shein ataifanya vilivyo. Wazanzibar kuna mengi bado yanakuja kupitia bwana huyu mungu tuweke hai tumuone.

kama ni hivyo sisi kama wazanzibar tutegemee nini kwa mtu ambae nafasi aliyonayo ni hidaya tu kutoka kwa mtawala tanganyika ! Shein kama shein yupo kwenye kiti kama punda na hatamu aliebeba mzigo anafuata ,hawashi wala hazimi.

tumuangalie seif iddi naamini hata hilo jina ni la kupanga kwani yeye binafsi hana hata hisia wala maji ya uzanzibar. Amewekwa pale kuwa kama ni usalama na balozi ambae anaiwakilisha tanganyika na kutoa taarifa mihimu kwa tanganyika. Hapa ndio kiukioni mwa fitina na unyanyasaji kwa upande wa wazanzibar.

seif iddi hayupo zanzibar kama kiongozi lakini yupo kwa kufanya kazi kama ajenti na muwakilishi wa tanganyika. Wazanzibar wasishangae na matusi wala fitina za balozi huyu kwani yeye hana hasara hata mukichinjana yeye hajali wakati majumba yake ya fahari yako kwao bara zanzibar yuko kibaruani tu!

mukitaka kujua udhaifu na unafiki wa kiongozi huyu muangalieni kwenye uchaguzi mdogo uliopita pale bububu jinsi ya hisia zake,alishindwa kujizuia na kutoa yale ambayo yamo kwenye moyo wake,chuki na fitina kwa wazanzibar.

kiongozi ambae anashindwa kufuata maadili ya uongozi na badala yake anawachochea raia zake kufanya fujo na kupigana huku anapongeza na kuwapa baraka zote wahusika, kweli huyu ni kiongozi muadilifu? Kweli kama si ajenti ni nani twambieni?

lakini pia hata elimu yake haifanani na cheo chake. Inakuwaje yeye kama makamo wa rais shughuli za serikali ya zanzibar azifanyie tanganyika kwenye majumba yake binafsi pale dar na nyingine kule dodoma, jee hakuna ofisi zanzibar kwa wageni kufikia na kupanga mipango ya nchi?

hii ni kuonesha jeuri na ulwa alionao lakini akumbuke ya kwamba iko siku ataulizwa na ajiandae na majibu hivi sasa. Sote tunaelewa kwamba uongozi ni dhamana lakini pia hakuna refu lisilo na mwisho . Viongozi wengi kama yeye wamepita na hivi leo hawatajwi tena ila kilichobaki katika nafsi yao ni majuto na huzuni tu kwa yale walioyafanya.

tujiulize kiongozi kama huyu ambae ana raslimali chungu mbovu kule tanganyika ambako ni kwao, kweli atawatetea wazanzibar wanyonge wanaodai haki zao hapa zanzibar? Hivi kila siku tutapangiwa maajenti na tanganyika na kutunyanyasa mpaka lini na kutuharibia udugu wetu wa asili, hawa akina seif iddi ndio wanaoleta ubaguzi zanzibar.

angalieni michango ya maafa iliochangiwa ni mzanzibar gani aliefaidika? Mtu kafiliwa na familia mzima anaenda kupewa ubani laki moja wakati michango ya mabilioni imetolewa, hivi pesa hizi zimetumikaje! Ndio maana balozi huyu akawa na jeuri kwani mifuko yake imetuna, kwa maana hiyo ana kila sababu kuwagombanisha wazanzibar.

tumuangalie waziri mohamed aboud ameingia katika medali ya siasa baada ya kupata ngekewa ya vita vya panzi kupigana, yeye kama kunguru rais karume akampa nafasi. Mheshimiwa huyu hakufanya kosa akatia fitina na baadae kujipendekeza tanganyika. Kiongozi kama huyu lazima aabudu na asujudu kwa mabwana zake,sishangai kuona anawachukia hata wale watetezi wa uislamu na nchi yetu, analipa fadhila.

mheshimiwa mohamed aboud hana elimu na ni dhahiri kwamba alifoji hata elimu yake na hili lipo wazi na ndio sababu hata ya kukosa nafasi ya kupigania kiti cha urais zanzibar. Kama sio kashifa hii kuwa wazi wazi basi leo hii mohammed aboud angekuwa ameshasimbikwa urais kwani hapa petu hatuchagui, tunasimbikiwa kutoka tanganyika tu.

lakini hili limefumbiwa macho na tanganyika, kwa sababu watanganyika lengo lao sio mtu mwenye elimu zanzibar akawahangaisha bali wanahitaji mapocho wenye kupenda posho huku tanganyika ikiendelea na biashara yake "as usual".

tuangalieni viongozi wengi katika baraza la kutunga sheria wengi wao hawana elimu inayohitajika kwa nafasi walizopewa,inakuwaje mtu kujifurahisha na kujitapa na cheti cha ubaharia, hivi ubaharia na utungaji wa sheria ni wapi na wapi? Yote haya yamepangwa hayakuja kibahati mbaya, tanganyika wanaelewa wanachokifanya.

kweli kiongozi kama huyo atakuwa na uwezo wa kuitetea zanzibar na wananchi wake au atakuwa yupo kwa maslahi yake binafsi huku akiitikia hewala bwana,alimradi posho inaingia. Hawa ndio wengi wa viongozi wetu wanaoendesha serikali ya mapinduzi zanzibar.

hivi wananchi wategemee nini kutoka kwao isipokuwa matusi tu na kuiuza nchi?

kiongozi kama huyo kweli ataitetea zanzibar awaudhi mabwana zake walio mchagua na kumpa uwakala wa kuichuuza zanzibar? Hilo haliwezekani abadani! Na hawa ndio wengi wao viongozi wetu ndani ya chama changu nikipendacho cha c.c.m walivyo.

suala la mageuzi kwao ni mwiko hata kama zanzibar itaharikishwa na sababu kuwa ni wao basi wako tayari kwa hilo.

tumtupie macho dk. Mwinyihaji na udokta wake na vikosi vyake anavyo ongoza.

kwa kweli ni jambo la kushangaza kuona kwamba mawazo yake na elimu yake ni vitu tofauti, anachojali ni maslahi binafsi yeye na familia yake lakini uzalendo wa nchi yeye hana kabisaa.
zanzibar ni visiwa vidogo sana lakini ina vikosi vya ulinzi hata hayo mataifa makubwa duniani hayana, hii inakuwaje lengo hapa ni dhulma tu.

inapofika wakati ukaamrisha vikosi vyako vya ulinzi kuwashambulia raia wako wewe kama kiongozi unaipeleka nchi yako wapi? Kimawazo yangu ni kwamba unazidisha uhasama ndani ya jamii,lakini pia wewe kama kiongozi na kiongozi wa serikali utegemee kuona kama hichi kinachotokea hivi sasa zanzibar,vurugu na watu kuteswa bila sababu kosa eti hawautaki muungano sio haki!

kinachoendelea hivi sasa zanzibar ni mipango mahususi ilioandaliwa na yeye akiwa ni muandaaji mkuu wa hayo. Elimu yake ni sawa na punda aliebeba vitabu lakini maskini kilichoandikwa hakijui. Lakini pia cheo na umri wake naona unamkanganya,anahisi ataishi milele,basi sheikh wangu hukumbuki hata akhera yako! Mwisho wa yote ni wapi? Hao makachero uliwaleta kutoka bara ni bure tu wazanzibar wataendelea kudai haki yao "for sure"

sasa tuelekee kwa waimarishaji wa chama cha mapinduzi zanzibar,hawa ni akina borafya,shamte na wenzake hawana hata chembe ya imani,ubinaadam,uungwana nathubutu kusema kwamba ni kondoo waliopotea,hawana huruma kama wao ni miongoni mwa jamii watu. Maisha yao yote ni hasadi,fitina na majungu huku wakifanya dhulma ya kuwafitinisha wazanzibar.

umri wangu sio mdogo lakini tokea kuwa na akili yangu timamu sijawahi kuona viongozi wa chama kufanya mikutano na kutukana matusi ya nguoni bila kisisi chochote huku televisheni na vyombo vya habari vikionyesha na kutoa habari hizo. Serikali ina washauri hivi kazi yao hao washauri ni nini? Maanake ni dhahiri huku tunakoelekea kwa mtindo wa kina borafya ni kuelekea jahhanam.

hizi sio silka na tamaduni za wazanzibar na mtu yeyote ambae utamuona anafanya vitendo kama hivyo basi ujue huyo sio mzanzibar bali ni mtu wa kuja visiwani na ana lake jambo, kufitinisha na kugombanisha kwa maslahi maalumu au ametumwa kufanya hivyo kwa dhana na malengo maalum,wazanzibar tusikubali kuelekea huko, tupambane kiume.

kamishina wa polisi zanzibar, waswahili wana msemo unasema mcheza kwao hutuzwa. Kamishina ni mtu ambae hajui hata uongozi ni kitu, hajui baya wala jema,ni muongo na mnafiki hata sura yake tu ukimuona basi utajua ni mtu wa aina gani? Anashindwa hata kupanga uongo wenye muelekeo. Nilitegemea kuona kiongozi kama huyu anaheshimu cheo chake kama mlinda usalama wa raia lakini yeye amekuwa msimamiaji wa sera za akina borafya ndani ya c.c.m.

kamishina huyu ni bendera inafuata upepo licha ya kufanya kazi kisayansi lakini ni dhahiri kwamba kichwa chake kina uhaba wa elimu! Elimu yake na majukumu alopewa ni sawa na mbingu na ardhi kwa maana hiyo sishangai sana na jinsi anavyowadhalilisha wazanzibar wenzake.

anachojaribu kukifanya ni kujikweza ili aweze kubakia kwenye nafasi aliyopo kwani bila kuwa mdhabi-dhabina na mnafiki kwenye serikali ya mapinduzi ya zanzibar na ile ya tanganyika basi wewe huna nafasi hili linaeleweka.

nimalizie kwa kusema kwamba mchimba kisima huingia mwenyewe, viongozi wa c.c.m na serikali yetu ya mapinduzi, imechimba visima ihakikishe kwamba ikiwa haitakuwa makini basi wataingia wenyewe kwani wazanzibar wameshachoka na dhulma zao. Uvumilivu una mwisho wake, hivi sasa zanzibar imegeuka paka alofungiwa kwenye chumba na ameshajua kwamba anakufa kwa mateso,hana budi na yeye kujihami kwa njia yeyote ile.

kutokana na hili ilivyo ikiwa dokta shein ataendelea kuongozwa na tanganyika(bara) kufuata ushauri wa wahafidhina kama hivi anavyowafanyia wazanzibar muda huu wote, basi na aelewe wazi kwamba atayarishe mageraza mengi kama firaun na serikali zake lakini wazanzibar hawatorudi nyuma tena kupigania haki yao ya msingi, na jamhuri ya watu wa zanzibar kwanza.

loving sisim = endless complans!!!
 
Nilitamani kutoona udini kwenye maandishi marefu haya lkn haikuwezekana. Kwa hiyo we Mpemba unamaanisha kuwa Seif Idi ni jina la Bara na Seif Sharrif Hamad ni jina la visiwani, asante kwa elimu.

Sasa hapa ndio utaahira huonekana bila hadubini. Uislam utetewe Zanzibar ambako mwezi wa ramadhani hata ambaye si muislamu huruhusiwi kula? Au unatetewa dhidi ya nani, mi napata shida kuwaelewa nyinyi watu!

Hivi kuishi bila kutumwa na Mwarabu kwenu ni adhabu, eti?

Hebu ona utumbo huu ulioandika sijui ndio umefundishwa na nani...
Nikisema hawa mbwa wanatumwa mtakataa wanaJF? Huyu kibaraka kajinadi kuwa yeye ni Mzanzibari, lkn cha kushangaza, anachukia Zanzibar kuwa na ulinzi zaidi ya mataifa makubwa, kwa hiyo utona hapa kuwa, huyu Punda ana bwana zake nje (Huko uarabuni) ambao maslahi yao yanakwamishwa na uwepo wa vikosi vya ulinzi imara Zanzibar.

Kwa mujibu wa huyu kibaraka Kakke, Zanzibar kuwa na ulinzi ni DHULMA, sasa sijui anadhulumiwa nani. Yaani natamani kama ningekuwa ndio mkuu wa Polisi wa Zanzibar, naona tangu wamemmenya kichwa yule mmoja zoezi limedorora. Hawa ni wa kuua kabisa
**********************************
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom