Zawadi yako miss neddy

Zawadi yako miss neddy

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,626
Nakuomba uipokee japo ni ndogo

CC: MMU members
 
Attachments

  • 1409002394574.jpg
    1409002394574.jpg
    17.6 KB · Views: 671
  • 1409002415244.jpg
    1409002415244.jpg
    11.2 KB · Views: 567
Jamani miss neddy uko wapi? Njoo upokee zawadi yako basi, afu unigawie na mimi coz kizuri kula na nduguyo hahaha
 
Last edited by a moderator:
Wasukuma wanatesa kwa upande wa kike huku kwa upande wa kiume wakurya sisi ndo habari ya mujini.
 
Jamani miss neddy uko wapi? Njoo upokee zawadi yako basi, afu unigawie na mimi coz kizuri kula na nduguyo hahaha[/QUOTE

Heaven Sent una maana gani kusema kizuri kula na nduguyo?kwa mfano hiyo zawadi ya pili ambayo jamaa "anautoa" moyo wake kwa ujasiri na ukakamavu mithili ya star wa muvi ya kihindi mnagawana vp na miss neddy?ufafanuzi tafadhali mimi ni slow learner
 
Hahaha huo moyo tunagawana pia, nusu anauchukua yeye na nusu nyingine ananipa mimi. Ndo maana halisi ya kizuri kula na nduguyo, yani lazima umgawie nduguyo chochote kizuri ulichonacho hahahhaha
 
Sasa kuliko mgawane nusu nusu si bora kila mmoja ajitwalie ulio wake.i have it for u pia.kwa mantiki hiyo miss neddy anachukua wa t bag nawe wachukua wangu.unaona imekaaje hiyo?
 
siku nyingi kweli,kumbe bado kuna malovee humu ndani?dah mjini kazi
 
ngoja na mimi nitafute wa kumpa zawadi. loading.....................
 
ahsante Tee Bag nashukuru ila huo moyo mmmmmh baki nao lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom