Zawadi yako miss neddy

Zawadi yako miss neddy

nilikuwa nawaza kama wewe heri aje tumpe huu moyo

U cant be serious miss neddy.yaani mtu mzima Tee bag anakupa zawadi ya moyo wake then wewe kirahisi tu eti unataka uigawe tena kwa mwingine hiyo zawadi.tukiacha mas khara unaweza kuta uzi huu unabeba "hisia" za kweli za mwana MMU.ushauri wangu ni kuipokea tu hiyo zawadi kwa unyenyekevu.haaa haaaa uwiiiiii
 
bora niugawe utunzwe vizuri maaana ukipata jeraha ni tatizo
 
moyo umetolewa na mtu bado kasimama hapana chezea malavidavi
 
Back
Top Bottom