miss chagga ni couzin wangu kabisaaBulldog unatafuta nini kwa miss chagga kumpa zawadi kama hii aise
Bulldog unatafuta nini kwa miss chagga kumpa zawadi kama hii aise
miss chagga ni couzin wangu kabisaa
Binamu nyama ya hamu???! miss chagga unaitwa huku na binamu
Binamu nyama ya hamu???! miss chagga unaitwa huku na binamu
Nyama ya hamu ukimaanisha??
Ndoano hiyo sidhani kama atachomoa
nimepewa zawdi mie ,,..miss chagga hebu Njoo dada mpenzi....
Nyama ya hamu ukimaanisha??
Nyama ambayo huli mara kwa mara kama kiti M'
nimekuja yani watu hampendi nipewe zawadi na binamu yangu