Zawadi ya TZS 500,000/= kwa Humphrey Polepole

Zawadi ya TZS 500,000/= kwa Humphrey Polepole

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,119

Wadau salama !
Napenda kumpongeza kijana mhe Hamphrey Pole pole kwa yaha yafuatayo:
- UJASIRI
- MSIMAMO
- UWAZI
- UKWELI
- HEKIMA NA BUSARA
- INTELLIGENCE
- CREATIVITY
- KNOWLEGDE

Natambua wazi kuwa wapo wapinzani wake pia wapo wengi Zaidi mashabiki wake.
Kama kwa namna yeyote atakayopenda anijulishe ili hii zawadi yake imfikie (cash 500,000=) yaweza kuwa ndogo lakini hata hicho kidogo hakitakosa pa kuziba.
 
Mkuu nipe tu mimi hiyo hela ikafanye kazi ya Mungu ili jina lako na sadaka yako viwe UKUMBUSHO mbele za Mungu.Rejea Matendo 10:4
 
Wadau salama !
Napenda kumpongeza kijana mhe Hamphrey Pole pole kwa yaha yafuatayo:
- UJASIRI
- MSIMAMO
- UWAZI
- UKWELI
- HEKIMA NA BUSARA
- INTELLIGENCE
- CREATIVITY
- KNOWLEGDE

Natambua wazi kuwa wapo wapinzani wake pia wapo wengi Zaidi mashabiki wake.
Kama kwa namna yeyote atakayopenda anijulishe ili hii zawadi yake imfikie (cash 500,000=) yaweza kuwa ndogo lakini hata hicho kidogo hakitakosa pa kuziba.

Hakika wewe ni mfano wa kuigwa na unastahili pongezi kubwa kwa kutambua mchango wa mwanaharakati huyu, nakushauri umtafute kwenye ukurasa wake wa twitter account au Facebook page na mtaweza kuwasiliana naye vizuri zaidi
 
Hela ndogo hiyo ongeza sifuri moja.
 
Na mimi tuonane na huyo "taratibu" nimpe zawadi yake ya mimatusi teele kwa kufanikisha ukuwadi wake kwa ccm.
 
Tumekuelewa, na pia si unampendekeza apewe cheo na Rais mteule?

Muacheni Magufuli apange safu yake mwenyewe bila kuingiliwa. Mkome
 
we ni msukule kweli ,mwenzako alikuwa analipwa na ccm kusema vile we unashabikia ujinga ,elimu,elimu,elimu
 
Kama hiyo hela haina kazi peleka kwa watoto yatima
 
Back
Top Bottom