Zawadi ya ngono

ni kweli uyasemayo mkuu ila sometimes maisha yanaweza kumfanya binadamu kufanya jambo lolote hata kama sio haiba yake.unaweza kukuta mtu mwingine anayomisingi mizuri tu ila akaja kukwama mahali ile kujinasua na lile jambo akaingia kwenye njia isiyofaa shida ni mbaya sana mkuu kumbuka
 
Cant even thnk 'bt it. Kwangu itakua km kula haram, kuchuma haram.
Muhm kujiamini tu. Ndo mana hatuendelei, utakuta mtu hata haqualify lkn anapeta kuliko mwenye uwezo. Mungu awalaani wote wanaotoa na kula rushwa especially hii ya ngono kwani wanizibia rizk wenziwao. Ameen
 
Mhh... Huoni kuwa unaweza kuwa unapewa huo ufanyakazi bora kama hizo zawadi nyingine unazopokea, au kwa kazi ile nyingine? Mhh naogopa... Majibu yako!!!
 
nisahihi shida nimbaya je upande wapili(wanaume!) kwani wao hawapati shida? wanakabiliana nazo vipi? nikujiendekeza tu dada yangu!
 
nisahihi shida nimbaya je upande wapili(wanaume!) kwani wao hawapati shida? wanakabiliana nazo vipi? nikujiendekeza tu dada yangu!
sijui kama ni kujiendekeza au lah maana shida ikiwepo kila mtu ana resistance mechanism yake mkuu. sisi ni binadamu tupo tofauti
 
Hii inanikumbusha wadada wapenda dezo waliokuwa wakienda JKT enzi hizo. Bahati nzuri JKT imefutwa vinginevyo kwa ukimwi huu wa sasa wengi wangeangamia kwenye makucha ya maafande wenye uchu wa ngono.
 
Unaonaje hii ya kukubali kila zawadi unayopewa kwa mwanamke? Hi ni kwanini hawa wanaume wakupe wewe tu zawadi? Kwanini wasiwape wanaume wenzao? Eti mtu anauliza ukipewa zawadi ya gari hata kama unalo utakataa? Kweli ni lazima uchukue?? Hii ni dalili mbaya kwa mtazamo wangu? Au muonekano wako ni wa kuzawadiwa zawadiwa tu? Toa basi na wewe zawadi!
 
Hapa umechemka
 
Siwezi kukutumia vocha ya 500 bila kupata mrejesho ukisepa nakupiga roba ya mbao.
 
mi najua ukipokea jiandae kutoa ila sio lazima utoe k, kama anakupa zawadi na wewe jijengee mazoea ya kumpa zawadi.
 
Rushwa ya ngono ipo kwa wingi sana tena maofisini.
Inasaidia vilaza kupanda vyeo na kupata kazi
ina manufaa kwa wahusika
 
Rushwa ya ngono nimeona mengi sana wengine hata kabla hawajaombwa wanatoa wenyewe hii kitu imeishafanywa kama jambo la kawaida kati ya anayetoa na anayepokea..
 
Hivi unaweza kutoa rushwa ya ngono kwa matakwa yako mwenyewe halafu mwisho wa siku ukasema wa kulaumiwa ni mwanaume?

Kama mwanaume kambaka anapaswa kulaumiwa lakini kama alivua kwa ridhaa yake lawama ya nn wkt nae kaenjoy.
 
katika taasisi nyingi hivi vitu vipo
ila vinafanyika guest huwezi viona kwa sana

ila men are devils
wanavictimise wanawake sana
i hate u meeen tukiwa kazini
i like you tukiwa mtaani

wewe vp si kweli mimi niko kwenye taasisi ambayo sijaona hicho kitu
sema source ya iyo data
 
wee Lizy
unaishi dunia ipi hiyo
ambayo mwanamme akikupa lazima ulipe?

Njoo uone huku kwetu kwa Tumbo
tunapokea na ukileta zako unaitiwa mwizi
inategemea na mazingira ya kupokea

Tofauti wapi?Deni ni deni tu aisee...liwe la pesa au kitu. Siku ukitakiwa kulipa itabidi ulipe vile unavyoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…