Dada yangu nilikuwa na Id yangu miaka ya 2011 nilivojiunga jf Uzi wa kwanza kuusoma ulikuwa ni huu na nilipata madini sana ndo Uzi wangu Bora wa muda wote ila baadae nikaja kuibiwa simu na kupoteza password ya ile id na nikafungua hii ya sasa hivi na nikaukumbuka huu Uzi wangu pendwa wa 2011