Mkuu sio njaa .. Muda mwingine mtu anatoa zawadi akiwa na nia njema tu... Let say ungekua ww unatoa offer kwa wana JF wenzako then tukakausha, nahisi haitapendeza..
Wakuu habari ktk kuufurahia mwaka mpya nitatoa zawadi hapa kwa members kumi wa kwanza wataoweka namba zao hapa I prefer Tigo ndo itakuwa rahisi zaidi kazi kwenu
Nb zawadi ni muda was maongezi tzs 10,000 kwa watu 10 itatolewa tar moja