Wewe si unajiita wakili? mbona unaaibisha mawakili wenzako? acha njaa.
Hapa wadada urtawapata wengi tu, tunapenda bure sana wanawake loh?Wakuu habari ktk kuufurahia mwaka mpya nitatoa zawadi hapa kwa members kumi wa kwanza wataoweka namba zao hapa I prefer Tigo ndo itakuwa rahisi zaidi kazi kwenu
Nb zawadi ni muda was maongezi tzs 10,000 kwa watu 10 itatolewa tar moja
Mmh. Kwa salio la 10,000 [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hapa wadada urtawapata wengi tu, tunapenda bure sana wanawake loh?
Mama wa fursaHeri ya mwaka mpya
HahahahahahaWewe si unajiita wakili? mbona unaaibisha mawakili wenzako? acha njaa.