kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
View attachment 190962nakupenda sana wife wangu lara1 nipo safarini endelea kuvaa hiyo nakuja!!
Haya ni maigizo eeh?!! Au live kabisa kwa maana ya uhalisia wa maisha?! Au kuna Lara1 wawili? Au mimi ndio nimepitwa na updates za MMU
Huyu Lara1 Si muke ya yule mzee tuliyekuwa tunamsoma utotoni alificha chakula familia yake isijue akawa analia gizani?
Nashangaa mnahangaika na Matola kumwita huku wakati mwenzenu anaongeza stress kule Jukwaa la Siasa...
Ndio uhalisia wenyewe mkubwa ni lara huyo huyo unayemjuwa wewe yupo mmoja tu na ndie asali wangu wa moyo!