Zawadi ya Eid........

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,791
Wale wote mliomaliza funga yenu salama.........ningependa kuchukua fursa hii kuwapa mkono wa EID......
ni kidogo lakini si sawa na bure......
EID MUBARAK

IMG_1238.JPG
 
Zawadi nzuri sana! Ila sijui nani kashiriki kwenye manunuzi kati ya Mtuchake au Paka Jimmy.
 
Preta!
Hivyo ni vitu gani? Mara nivione kama madini hivi !
Mara kama msosi vile !
Nway hayo niyaulizayo majibu yake si muhimu sana kiiivile kwangu, kuliko ungetolea majibu ya ulioulizwa hapo juu na wakili Rutta!
Kwamba umeyaandaa hayo mavitu ukiwa na yupi ?
MC ?
52 ?
Kaka dark ?
Au yule wa zamani kabisa ?
 
hii shemeji imenunuliwa na Ipycalypse.....alinialika futari ya mwisho nikageuzia na eid huko huko......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom