pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,293
- 6,658
Habari waungwana,
Leo bana katika kupita pita vile vijiwe ambavyo sijawapa hai siku nyingi nikakutana na huu mzozo bibie kamnunulia mpenziwe zawadi ya andazi moja tu kamtafuta full kupiga simu uko wapi baada ya kumuona akampa zawadi ya andazi alafu akasepa daa! Waliyokuwepo walitoa mitizamo tofauti kila mtu kwani kuna ubaya wa andazi kuwa zawadi?