Mu-hali gani wanajukwaa....
Siku sio nyingi mama yangu ataadhimisha siku yake ya kuzaliwa...
Nikiangalia sioni zawadi gani nimpatie, make nilishampatia kila kitu kilicho ndani ya uwezo wangu kama nguo, viatu, mkoba.
Kama kuna wazo jingine mnaweza kunipa katika kuchagua zawadi....
Natanguliza shukrani....
"Nani kama mama"....
CL