Zawadi kwa mama

AshaDii hii thread ina kuhusu sana sana sana.
 
Last edited by a moderator:
napita tu hapa.heri yenu wenye mamazenu... hakuna lisaa linapita bila kumuwaza my swiit mama...huwa najiuliza kwanini ilitokea,wapi tulikosea,ila hayupo tena ,sina cha kufanya tena hayupo hayupo,haki naumiaaaa,daah acha tu siku njema jamani ngoja nilog off kabisa maana ni maumivu makubwa ...usiku hakulaliki yaani moyo wangu kwa sasa umekuwa ni vurugu vurugu naumiaaaaaaaaaaaaa
 

Pole sana Smile , tupo njia moja.
 
Last edited by a moderator:
Yeah na nani kasema mimi simsaidii mama yangu, nilicho ongelea hata kama nikimsaidia/kumpa zawadi, naona sijafanya kitu hizo hizo pesa utakazo mpa/zawadi unaona kama kakuwekea tu hazitumii yeye... na si ajabu ukakuta kakupa kuliko ulizo mpa mana kumbuka kina brothers na sisters na wao lazima wampe sa anapo amua kukupa pesa/zawadi anakuwa kama bank unapata faida :love:
 
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?

Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?

Zawadi inategemea na 'culture' pamoja na unavyomfahamu mtu unayetaka kumzawadia, anachokipenda,status yake ya maisha.
Mfano. . mama Don Mangi mi hua nafahamu anapenda sana vyombo vya nyumbani beyond maelezo mfano serving bowls, cutleries tofauti tofauti pia hua anapenda mapambo mazuri ya sebuleni kama picha za nature au zilizobuniwa kisanii vizuri.
 
Last edited by a moderator:

Jaman Smile. . .
 
Last edited by a moderator:
Kutoa zawadi is more of a tradition.... Uki observe katika jamii utakuta kuwa kuna watu ambao wanajua kuwa wanatakiwa watoe zawadi, anaona kuwa ni wajibu wake na hujisuta na kujilaumu sana akishindwa kutowa zawadi pale ambapo anaona inastahili kwa wapendwa na wapenzi wake.

Swali lako la msingi thou... For wengi hawajakuzwa katika utaratibu huo hivo unakuta once akiwa mtu mzima ndipo kama yupo responsible anatowa zawadi kwa mzazi iwe ni mama ama baba.

Kwa upande wangu zawadi kwa mamangu hata sikumbuki ya kwanza ilikuwa ipi... For katika familia yetu toka watoto tumejenga taratibu za kupeana zawadi, tena zawadi yenye sio lazima iwe kubwa. Zawadi zingine huwa tu kama ku express kuwa I meant to give you a gift na this is the best I could do.

Hii huwa nzuri sababu in a way ni moja ya njia ya kumfanya mwanadamu awe apprecitive of what s/he is given. Ni suala kubwa sana mtu kukumbuka na kuchukua uamuzi wa kukutafutia zawadi, ile suala tu la kusema kakufikiria is BIG kuliko hata zawadi yenyewe (some times).
 
Kumbe mama huwa anapewa zawadi? Duh nilisahau hii ngoja nimtafutie moja fasta
 

Smile.... Pole na kumpoteza mama... Pole sana mdogo wangu. Ila nakupa ushauri ambao unaweza kukusaidia kukutia nguvu... Umshukuru Mungu kwa kukupenda na kumpenda mama yako to the extent aliwabariki kwa baraka zake kuhakikisha umemfahamu, kakulea na kukukuza kuwa binti mkubwa mwenye kuweza kujisimamia na anae jitegemea.

Imagine role ya mama yako mpenzi katka maisha yako... Then imagine kama mama angefariki ukiwa bado ni mtoto mdogo... In a way you will understand nina maana gani.

Nisamehe kama nitakukwaza dear... I understand what you are feeling and going through. Mungu azidi kukupa Imani na Amani. Pamoja Saana.
 

he he he he,we jamaa wewe.
Nimepata point lakini hapa,asante sana.
 
huu ndio unaoitwa upendo wa mama. i love that aisee.
 

Wow,now i know what to prepare.
Asante sana,nilifikiria something special,ni ngumu kuelezea why now na sio kabla.
Lakini nimepata point ya muhimu sana toka kwenu na nitaifanyia kazi.

Nilipo shauriwa vitenge mmh,nilipata wakati mgumu kuchuja kitenge kitengeneze nini
lakini now najua,sijawahi kumuona akivaa nguo ya kitenge,au magauni,and the like.

Nimuandalie tu suti ya maana he he,she is more of trousers.

 
Last edited by a moderator:
wacha kabisa mkuu,moyo wangu umejeruhika sana

Trust in the Lord always, lean not on your own understand. . .some things in life are beyond the sense of our understand and life is one of them.
Take courage Smile
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mama huwa anapewa zawadi? Duh nilisahau hii ngoja nimtafutie moja fasta

He he he,...
sikushangai,siku zote nilizoea kupokea zawadi,sikuwahi kufikiria kama natakiwa
kutoa zawadi pia,too bad hata kwenye birthday hatuko karibu mara zote (siku ambazo
kwa u-mbulula wangu najua ni za kutoa zawadi).

Jitahidi aisee,i feel nadaiwa sana tu yani.
 

You are welcome!
 
Zawadi kubwa ya mama ni kuwa karibu naye hasa kwa mawasiliano kama uko mbali naye. Pia kutenga muda wako wa likizo kumpelekea wajukuu zake kwenda kuwaona. Wakati huo umebeba zawadi ya kitenge, kanga na pesa ya matumizi kama uwezo unakuruhusu. Wazazi wanapenda zaidi kuwa karibu na watoto wao pale wanapokuwa watu wazima na kwajali pia. Binafsi nampenda sana mama yangu bila yeye hata maisha niliyonayo nisingekuwa nayo. Mungu azidi kumpa maisha marefu.
 
My best gift to my mother is misos,,, nikitaka kwenda home nachofanya ni kuamka asubuh kwenda feri na hata ka 50,000 nasomba zangu samaki wa kiaina then kwenye buti huyo home...

Nikifika tu natoa bonge la tabasamu anajua mvuvi nimeshafika he he he...

I feel bad to see my mother sad..

Zawadi nyingine ni ndogo ngogo tu DVD za kwaya ukiziona kwenye mataa kama mama yako mtu wa hizo vitu,,, vitenge etc kumfanya yeye afurahi
 
kiukweli namshukuru mungu kwa yote sema tu moyo wangu umekuwa dhaifu naamini na namuomba sana azidi kunipa nguvu,
namshukuru mungu kwa zawadi ya mama katika maisha yangu ,ujue katika ibada ya mazishi katika mahubiri yaliyohubiriwa na msaidizi wa askofu ,katika mahubiri yake ndo nilijua maana ya jina la mama maana yake ni zawadi nzuri tuliopewa bure bila malipo yoyote kutoka kwa mungu basi bwana nikiangalia ni kweli yaaani by the time nimemaliza chuo na watu wote home tumesettle tule maisha baada ya mama kusota na sisi sana ndo akaanza kuumwa,yaani kama kazifaidi hela zetu ndo hivo kutibiwa na kutunzwa kwenye ugonjwa,mimi hapa feb nilimnunulia bonge la kitenge wala hakuwai kukivaa ndo tulimpa zawadi sister yetu alokuwa anamuuguza .yaani ilikuwa ni zawadi ya bure kabisa hatukupata nafasi ya kulipa ..ndo hapo tu naumia

 


Asante sana bahati mbaya , mengine uliyo taja hata sija yafikia.
Ndo kwanza niko 21,kuoa hadi miaka 7-8 ijayo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…