Zawadi kwa maharusi

kweli kwa ishu ya zawadi ni changamoto na ht ukiwa na shughuli yoyote ambayo itahusisha mambo ya zawadi pia ni changamoto, iwe kwa harusi,graduation au pongezi kwa mtoto mchanga kwasbb watu walio na roho mbaya hawakosekani... Cha muhimu ni kumuomba sana Mungu na kumuamini kwamba yy ndio kila kitu......hz mambo mm hazikuwah kunitokea lkn zilimtokea ndy yangu Fulani,yy alipata zawadi ya kijimdoli kilichovishwa shela km yy na kimeshikishwa kisu na haikuchua muda mme wake akafariki ktk mazingira ya kutatanisha.
 
kiukweli hili suala hata mimi nimeshalisikia. Ila kulikontroo sidhani kama inawezekana labda kama mtu unaweza kujua na kuamini kuwa Fulani ni mbaya wako na labda uliona na kuhakikisha kuwa hii ni zawadi aliyoleta mbaya wako huyo ndo unaeautia shaka. Cha muhimu mi niavyoona ni kuziombea hizo zawadi mara unapozipata na kumuomba Mwenyezi Mungu aziondolee hila zozote km zipo na madhara yeyote kama yatakuwepo ktk zawadi hizo. Sio hekima kutupa au kukataa kupokea zawadi kisa kuhisi ubaya..japo upo ila tujikite na kuamini ktk ulinzi wa Mwenyezi Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…