Zawadi for my baby

Status
Not open for further replies.
Kuna naibu wa fedha mmoja wa zamani alikuwa anampa mkewe kila kitu. Nakumbuka akiendesha Nissan Patrol na Toyota Land Cruiser. matokeo yake alikuwa akiliwa na jamaa hata Baiskeli hana.
 
'shem lakee ye ye ye unanitoa uderee unanitoa uderee re renda shemeji' mawizi.....
 
Bwana Yesu Asifiwe!!

hayo ndio matatizo ya vijana ambayo kila mara ninawakumbusha hapa jf: unawezaje kutumia gharama zote izo kwa GF? wkt mpo kwny mahusiano BUBU? yaan hata mahari hujatoa, kwao hujaenda kujitambulisha, wala hufaamiki, ni watu mnaokutana tu kwa siri tena gizani. na iyo wala sio njia ya ulinzi. ww mpe gari na yeye atampa MWENZAKO KWA JINA LA YESU
 
Daa kweli kila mtu na nyota yake natamani na mimi ningepata mpenz kama fredericko wa kunipa gari na kunilipia tuition fee huyu nilie nae hata nauli ya daladala ni shida kuitoa tena nilimpatia humuhumu Jf

Hahahaa jamaniii akipita hapa akaona hiii atajiskiaje......
Kumbe wa humu hawatoi pesa eeeh....
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana hili somo la wanawake bado halijaeleweka...
 
Kwani yeye hana hisia? Hana ny**ege?
 
Dah! Mabibo hostel? Nitaanza kuchunguza nikimuona binti mwenye spacio ntajua ndio huyo na kitakachofuata nadhani utapandwa na presha kila siku
 
Hahahaa jamaniii akipita hapa akaona hiii atajiskiaje......
Kumbe wa humu hawatoi pesa eeeh....

sio wote bibie, mbona federicko ameamua kutoa zawadi ya gari? Sema tunatofautiana
 

Mkuu na uandae na kamba ya kujinyongea, girlfriend hanunuliwi gari, hajengewi wala kununuliwa nyumba, wala kusomeshwa. Hayo anafanyiwa mke tu.
Sasa it's the matter of time.
 
Hahahaa jamaniii akipita hapa akaona hiii atajiskiaje......
Kumbe wa humu hawatoi pesa eeeh....

Huoni tunavyokuwa wakali likija suala la vizinga, ulifikiri tunatania!!
 
Mwanamke ata kama umpe dunia nzma ata kucheat kama humfanyii vifuatavyo
>hana hisia na wewe
>humfrahishi kitandani
>kama hafunguki kwako na kukupa siri zake kama kujipaisha
>hafrahii sana mkiwa wote
Kifupi ni kuwa pessa itaweza kukupa kila mschana mwenye tamaa ya pessa lkn kumshika mschana moyo wake inahitaji vi2 vya ziada mkuu
 

wewe ni mvulana au mwanaume? tuanzie hapo.
 

Anakua anawalishia wenzake wanakula..kama mke wa waziri anang'ang'ania kutoka na dereva wake ambae hana ki2..sembuse apo chuo masharobaro kibao wamkose af ye hayuko chuo..af baadae dem anawaambia washkaji kuwa baba ake ndo anamsomesha..ata mie nilkuwa na dem mda mref kumbe anasomeshwa na mshkaji flan hv
 

Wolper alipewa kila ki2 na bwana wake wa enz zile adi BMW X6 lakin bado akawa sio mwaminifu na baadae akanyang'anywa vi2
 
Huoni tunavyokuwa wakali likija suala la vizinga, ulifikiri tunatania!!

Hebu nishirikishe kidg mzinga kwako unaanzia sh ngapi?
Hata ya daladala jamaniii... Huo sasa ni mkono wa birika
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…