Zawadi for my baby

Status
Not open for further replies.
hahahha acha nipite hiviii nikalale...nikue mie. maana naona nakutana na posts za watoto tuu sijui shida ni nini jahmeni.
 
hahha umeona eeh.. nilitaka sema huo msemo that hasomeshwi. anajiona kamueza kumbe nae dem anamuona kamueza kwa kumchuna.lol.

Yani hapo dem anamsoma tuu na kula hela za jamaa.... na kufanikisha malengo yake ya kusoma na kupata kaz, akishapata kazi...ndo mtiti unaanza
 
We unahonga,mi napewa bure,na ana tatoo sehem flan,ulimchora wewe pia,jina linaanza na J
 

Umepatia namba 4 tu
 

Fanya hayo kwa mapenzi yako, swala la kuchepuka yeye anajua kwani kwenye mapenzi hatuna uhakika kama tunapendwa bali ni imani tu.
Kwahyo usi mwamini kiasi hicho utakuja kuumia kijana hawa viumbe hawa aminiki
 
Hahahahahahahaaa




Unadhani spacio ndio itamtuliza? Wewe omba binti awe mtulivu lakini sio kwa mkwara wa pesa
 
Daa kweli kila mtu na nyota yake natamani na mimi ningepata mpenz kama fredericko wa kunipa gari na kunilipia tuition fee huyu nilie nae hata nauli ya daladala ni shida kuitoa tena nilimpatia humuhumu Jf
 
Last edited by a moderator:
Daa kweli kila mtu na nyota yake natamani na mimi ningepata mpenz kama fredericko wa kunipa gari na kunilipia tuition fee huyu nilie nae hata nauli ya daladala ni shida kuitoa tena nilimpatia humuhumu Jf

Lakn umeendelea kuwa naye pamoja n kwamba haupti hivyo vitu ujue kuna kitu kimekunasisha hapooooooo
 
Mpe ampe bwana anayempenda ili aendwshe wale maisha, akimaliza chuo waoane na shukurani kwako kwa kuanzisha maisha yao bila shida ya kukanyaga vumbi.
 
Iam 32 uzoefu ninao

Mi ni mmoja wa nitakao usubiri mrejesho hata ndani ya miaka kumi.

Kama umemuumba mwenyewe sawa, lakini si hawa ninaowajua mimi tuliokua nao mtaan wengine wakiwa swala tano wengine geti kali na wakaitwa wa madhabahuni but their end was unbelievable.

Aiseee.... speechless kwa gia uloingilia naona anguko lako litaitwa anguko kuu.
 


Wanaliwa mademu wamepewa RR itakuwa Spacio....toa kwa moyo tu ila usifikiri hicho kigari chako ndio lock ya hio papuchi....utakuja kujiua bure maana atagongwa hata na classmate asiekuwa hata na baskeli!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…