Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Huyu mbwa si abadili kabila... Eti chagga barbie wakati sura yenyewe kama mhadzabe
 
BADILI TABIA,
Hivi assume wewe ni mwanaume... hivi kweli unaweza kuwa tayari mke wako agongwe hadi kupigwa mimba kwa ajili tu ya kutafuta umaarufu? Hivi huyu Ivana umaarufu unamsaidia nini hasa? Kwanza watu wanaangalia mambo kinyume nyume... hizi drama zinamsadia Diamond zaidi kuliko hata huyo Zari! Jinsi Diamond alivyoandikwa na media za Uganda kwa kipindi cha uhusiano wake na Zari ni zaidi ya mara kumi kama sio ishirini ya alivyoandikwa huko Uganda (na kama alishawahi kuandikwa basi) kabla ya uhusiano wake na Zari! Na hata Kenya ameandikwa sana katika kipindi hiki! Uganda ni watu wanaothamini sana muziki wao lakini leo hii am sure Diamond akipiga show Uganda anaweza kujaza pomoni kuliko kama angefanya kabla ya uhusiano wake na Zari! Sidhani kwa sasa kama kuna msaanii wa Tanzania au hata Kenya anayeweza kuvuta watu kama atakavyoweza kuvuta Diamond katika kipindi hiki cha uhusiano wake na Zari!

Sasa tuje kwa Zari mwenyewe! Umaarufu huu unamsaidia nini materially? Hivi inawezekana kweli kwamba leo hii maduka yake huko Uganda yanafurika baada tu ya kuwa na uhusiano na Diamond? Hivi leo hii Zari akileta maduka yake hapa Tanzania ndo yanaweza kufurika kwa sababu tu ya uhusiano wake na Diamond wakati hata hao unaoita mashabiki maandazi sio watu wa kununua staili ya maduka ya Zari!!

Ukija madai kwamba hili ni chezo na mwisho wa yote Diamond ndie atapoteza wala sioni atapoteza nini! Ivan alipoteza kwa sababu walikuwa mke na mume na walipoachana mambo ilibidi yawe pasu kwa pasu! At least for the time being, kila alichonacho Diamond, Zari hana haki nacho hata kwa 1% na kwahiyo yale ya kwa Ivan kwa Diamond hayawezi kutokea! Lakini hata kama wakiachana bado hamna jipya na hasa ukichukulia historia ya uhusiano wa Diamond huko nyuma... kwamba mara zote, huwa anarudi zizini kwake (kwa Wema)! Na hata kama ni kweli Zari ana mimba halafu akajifungua na kisha wakaachana to the point Diamond akatakiwa kutoa monthly expenses kwa ajili ya matunzo ya mtoto bado wala haiwezi kuwa issue hasa ukizingatia jinsi inavyoonekana Diamond alivyokua anataka mtoto... hata akiambiwa awe anapeleka sh. 1 million kwa mwezi, ye atajionea sawa tu... sasa katika mazingira kama hayo, huyo Ivan sijui atakuwa amefaidika nini... kwanza mke wake kagongwa na hatimae kazalishwa halafu tuseme ni chezo... THERE'S NO WAY!
Naona umeamua kuupa uongo wako kipaumbelea mkuu... aya na ushatunga mambo yako sasa. ..
 
chige

Point of correction, mimba sio ya diamond, ni ya katunzi, habar ndo hyo
Yaniii unajua mpaka mwenye mimba wee utakua mchawi, sababu mwanamke mwenyewe anasema ya fulani we unapinga nae kama sio uchawiii huo.....
 
Last edited by a moderator:
Naona umeamua kuupa uongo wako kipaumbelea mkuu... aya na ushatunga mambo yako sasa. ..
Uongo wenyewe upi? Kwahiyo ukweli wako wewe ndo kwamba Ivan anaweza kumtoa mke wake atomb'we kwa ajili ya kuutafuta umaarufu? Hivi inakuingia akilini hiyo? Au uongo upi? Yaani ukweli wako ni kwamba, leo hii Zari akifungua duka la nguo Tanzania ndo atapata wateja kishenzi kwa ajili ya huo umaarufu unaosemwa unasakwa kwa mtu kumtoa mke wake amegwe?! Hivi inakuingia akilini??

Uongo ni upi? Yaani unakataa kwamba mara alizoandikwa Diamond na media za Uganda kwa sasa zinazidi hata mara 20 ya kuandikiwa kwake kote(kama alishawahi kuandikwa) alikopata kuandikwa na media za Uganda kabla hajaanza uhusiano na Zari? Uongo ni upi? Unaktaa kwamba Waganda wanathamini sana muziki wao au unachokataa ni kwamba Diamond hata kwa sasa hawezi kujaza ukumbi UG?
 
There are so many 'internet tough guys and gals' these days.

Kinda like how it was with 'studio gangstas' back in the day.
 
Back
Top Bottom