Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Huto stella tillya tunamsubiri itakavyo fika jion huko kwa obama arudi kwao sango atatia huruma sanaa... Poor her
 
Jamani muke ya mganda kafuta mipicha yote????
 
Yaani Mange anajigonga kwa Chagga sasa sababu kamtukana Mrs Chibu wakati wote tunajua hampendi Chibu sababu akiachwa na wema na yeye ni mbeba begi la wema pia.

Sasa kila wakati kumponda Chibu na now kajishusha kukubaliana na ka.ha.ba mwenzake chagga akikumbukia maisha ya dubai.


Unamtamani Diamond wishing angekuwa mumeo najua unasoma humu, weye na chagga na wengine kutwa hamuishi bila kushinda mtandaoni masaa ishirini kwa siku hata brunch na familia chakula hakipandi.

Acha wivu wa Diamond, bosi wako alimuacha nanyi mwacheni aishi, aimbeje mwacheni.

Wivu utakuua, kama haupendi miziki yake sepa teke hiloooooooo

Andika msanii mwingine basi kwa blog yako, thanks kwa kuzidi kumpa chati Diamond aka Chibu na kurusha kideo. Kubali bila yeye waingiao blogini hawakai sekunde kumi.

Blog yako ni ya Diamond weye kama agent.
 
ila ujanja wa mange ni kwenye maandishi tu
 
Back
Top Bottom