Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

Wale wawili hawakuwa kwenye formal relationship ndio maana kila mmoja kwa wakati wake alikuwa anachepuka.
 
Nyumba mali ya MAMA hiyo kusema mali ya watoto ni zamani labda...siku hzi mitoto ikishakua na akili haitaki hata kukaa nyumbani inaona nyumba za wazazi za nini Watoto akili zinapanuaka wanaenda anzisha miji yao huko.

Hiyo nyumba ya ZARI tu no way out ye akae aleeee watoto wake atulie...Sema huyu mama sazngine ananiboa kinoma.
 
Tena kodishianeni hadi vifaru na mizinga; na askari mamluki juu lakini kuingiza watoto; hapana kwa kweli!
Kuingiza watoto kwenye vurugu za wazazi ni dalili kwamba upande mmoja umekosa points au umeingia kwenye vita isiyoiweza.


Ni kama vile jeshi la waasi linapokuwa vitani, muda mwingine huwa linateka raia (watoto/mtoto) na kuwafanya kama shield dhidi ya jeshi la serikali (mke/mume).
 
Nyumba sio ya mama wala watoto bali ni ya mwenye haimiliki! Temporarily inahesabika kama makazi ya either mama na watoto au baba na watoto (depending nani yupo responsible kulea watoti ) hadi watoto watakapifikia umri wa miaka 18! Ownership itakuwa transferred kwa mwingine ONLY IF mmiliki halali akifanya hivyo au akifa! Wangekuwa kwenye ndoa, labda mama ange-demand sehemu ya mali ya wanandoa but only if kama kuna mchango wa wote kwenye mali husika! Ni mirathi peke yake ndiyo haijali nani kachangia nini!!
 
Hahahaahahahah! Mkuu ikifika harusi yenu mnishtue, kwa mapenz yangu juu ya Khantwe Kama rafiki yangu. Three days in Zanzibar is my offer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…