Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Mtoto kazaliwa jana tayari ameshajulikana dunia nzima je wew uliezaliwa 1975 na upo humu hata baadhi ya majirani hawakufahamu so sad!
 
N habari ya ma celeb sioni tatizo au unataka kila mtu andike mambo ya ccm n ukawa
Kwani Mimi nimesema sio ya celeb naona umeingiza na ukawa na ccm mana hapa ni vtu viwili tofauti. Ya ukawa na ccm nenda jukwaa husika
 
Huu upuuzi tunajaribu kuupotezea lakini kumbe bado kuna MAPOPOMA yanayotaka ushindani usiokua na maana.
Mbona sie jana tumekua waungwana kwenye ujio wa kichanga cha Diamond? Tubadilike, ningependa ushindani ubakie katika kazi zao tu (Kiba vs Diamond).
Haya mambo ya maisha binafsi tuyaache tu maana ndiyo yanayojenga chuki zisizo na maana.

Yaaani ......

Ndio maana nakupendaga

Ukiamua kuwa m sweet unakuwa m sweet kweli kweli
 
Kawaida mkuu.. si unajuwa Ni princess wa chibu... Bet africa, Mtv, trace, tale wote wamempongeza..,.

Nadhani kikubwa kutokea jana kwa huyu mtoto ni endorsement ya 50 million.. Mastaa wakubwa Tz wachache sana wamewahi kungia mkataba wa pesa ndefu hivo kwa kuwa balozi...
 
Mtoto kazaliwa jana tayari ameshajulikana dunia nzima je wew uliezaliwa 1975 na upo humu hata baadhi ya majirani hawakufahamu so sad!

Sio mbaya mkuu lazima tutofautiane...

Infact, kwangu mimi haya maisha poa zaidi ishu tu suala la mkwanja....
 
Kwani Mimi nimesema sio ya celeb naona umeingiza na ukawa na ccm mana hapa ni vtu viwili tofauti. Ya ukawa na ccm nenda jukwaa husika

Sasa kumbe unajua n ma celeb unashangaa nn sasa mie kuweka habari za watoto zao
 
Huu upuuzi tunajaribu kuupotezea lakini kumbe bado kuna MAPOPOMA yanayotaka ushindani usiokua na maana.
Mbona sie jana tumekua waungwana kwenye ujio wa kichanga cha Diamond? Tubadilike, ningependa ushindani ubakie katika kazi zao tu (Kiba vs Diamond).
Haya mambo ya maisha binafsi tuyaache tu maana ndiyo yanayojenga chuki zisizo na maana.

bora na wewe umeliona hilo. mtu kama huyu akili zake fupi sana.
 
Sasa kumbe unajua n ma celeb unashangaa nn sasa mie kuweka habari za watoto zao
Kwani nimekwambia sijui maana ya jukwaa naona Leo unajifanya kichwa ngumu iwe ya watoto sijui vidudu gani ni habari tu ya kawaida kama nyingine. Nothing new and that's mark the end of my discussion with you. Get a life dude
 
Tchaooo
 
Back
Top Bottom