Zari anasa mimba ya mzungu

Yupo kibiashara sana kitu ambacho ni wanawake wachache sana wanaweza fanya hivyo!
 
Dada ameshazoea kujifungua!huyu anaweza kujifungua peke yake bila usaidizi wa madaktari
 
Kwa nafasi aliyonayo Zari au Dia wadhani nani anaweza kufanya kitu kumkomoa kwenzake?
 
Yule baba wanaesema anatoma nae si Mtanzania yule. Au kisa mweupe?
 
Diamond bado anapiga mzigo hapo kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…