Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,586
- 28,748
umeinyaka wapi hiyo mkuu? au ndio tetesi tuMara baada ya kuachana na Diamond Platnumz hatimaye Zari the boss amenasa mimba ya mzungu.
Habari nyeti kutoka mitaa hiyo zinasema mzungu huyo amekuwa na mahusiano ya kimya kimya na Zari kwa muda mrefu hata kabla hawajaachana na Diamond.
Aidha inasemekana chanzo cha Zari kupata "kiburi" cha kumtema Dai, ni mzungu huyo ambaye alikuwa akimpa "jeuri"
Stay tuned.
Kama ni kweli basi kwakweli ni mwanamke wa aina yake inaweza kuwa anafanya kumkomoa mond kumbe anajikomoa mwenyewe maana mond hana habari naye naonaShe is a very busybody woman
Hii habari nzima ya “kuachwa” inaelekea haijamsumbua Diamond na hii imemuumiza bibieKama ni kweli basi kwakweli ni mwanamke wa aina yake inaweza kuwa anafanya kumkomoa mond kumbe anajikomoa mwenyewe maana mond hana habari naye naona
Yah inaelekea diamond alikuwa anasubiri bi dada aachie ngazi na yale alikuwa anayafanya makusudi jamaa haijamuuma kabisa yani...Hii habari nzima ya “kuachwa” inaelekea haijamsumbua Diamond na hii imemuumiza bibie
Hizi ndo nyuzi za mwisho mwishoWoyoooo gud news hahhaha
View attachment 723791 ngoja nimalize kazi zangu mieView attachment 723792 kuna mtu alisema bila dai zari hawez andikwa tena humu ila leo kaandikwa na anatoa mapovu watu awesome
Mara baada ya kuachana na Diamond Platnumz hatimaye Zari the boss amenasa mimba ya mzungu.
Habari nyeti kutoka mitaa hiyo zinasema mzungu huyo amekuwa na mahusiano ya kimya kimya na Zari kwa muda mrefu hata kabla hawajaachana na Diamond.
Aidha inasemekana chanzo cha Zari kupata "kiburi" cha kumtema Dai, ni mzungu huyo ambaye alikuwa akimpa "jeuri"
Stay tuned.
Hivi haya majombo hujamalizaa kuyaoshaa tangu saa 12???Woyoooo gud news hahhaha
View attachment 723791 ngoja nimalize kazi zangu mieView attachment 723792 kuna mtu alisema bila dai zari hawez andikwa tena humu ila leo kaandikwa na anatoa mapovu watu awesome
Yaaan kilaaa siku anatajwaa mtu mpyaaaa.....lets wait and see....Duh wabongo konyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatoki na Kanyau tena ni mzungu.
Ngachoka [emoji3][emoji3]
Hii hutokea pale amewazidi kila kitu[emoji23][emoji23]Yaaan kilaaa siku anatajwaa mtu mpyaaaa.....lets wait and see....
Hivi haya majombo hujamalizaa kuyaoshaa tangu saa 12???