Zao la shairi ( bailey)

Deemsangi

New Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
3
Reaction score
0
Kuna mtu anaweza nisaidia wapi naweza pata zao la shairi kwa hapa Dar
 
Zao tena au nafaka? Hahaaa unaenda kuoteshea Hydroponic baada ya kupata semina?

Shauri inalimwa sana mikoa ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Arusha na Manyara na pia Kanda za nyanda za juu kusini.

Hii huwa ni contract Farming hivyo inapelekwa yote kiwandani ba pia hailimwi kwa wingi, Viwanda vinafanya kuagiza nje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…