Zao la Mbaazi lashuka Bei kwa kiwango cha hali juu

Kweli wakulima ni wagumu kuelewa gaza inapokujaga suala la kushuka kwA bei huwa hawaelewi!
MIMI nyanya nishatelekezaga mzigo wote nkawaacha dreva n'a gringo msamvu..mambo Haya Haya ya nyanya
Unajua kaka wakulima wengi niwale ambao hawajawahi kufika hata makao makuu ya Mkoa wake sasa MTU kama huyo ukimwambia mambo hayo ni mtihani kwake...Kwa wanaojua kutumia fursa wanapiga pesa Iliwahi kuja habari humu ya Tenga la Nyanya huko Kilosa kuuzwa 700...Tulitegemea Serikali ingekuwa msaada mkubwa sana kwenye Eneo hili has a namna ilivyoanza kazi lkn mpaka sasa imeacha kusaidia wakulima namna gani wainuke inatengeneza Bifu na wanaSIASA wenzao matumaini yote kwisha
 
Kweli wakulima ni wagumu kuelewa gaza inapokujaga suala la kushuka kwA bei huwa hawaelewi!
MIMI nyanya nishatelekezaga mzigo wote nkawaacha dreva n'a gringo msamvu..mambo Haya Haya ya nyanya
Ha ha haaaaa...mkuu nimecheka sana Nimejaribu kuvuta picha kamanda anavyotafuta style yskusepa
 
Ha ha haaaaa...mkuu nimecheka sana Nimejaribu kuvuta picha kamanda anavyotafuta style yskusepa
Niliwambia naenda kununua vocha......kumbe duki bayaaaa....nkawaachiaa nyanya,maana Sokoni huku kulizingua na hela ya transport nisingeweza walipa tungefika dar
 
Niliwambia naenda kununua vocha......kumbe duki bayaaaa....nkawaachiaa nyanya,maana Sokoni huku kulizingua na hela ya transport nisingeweza walipa tungefika dar
Ha ha haaaaa...nimecheka sana....
 
POLE SANA MKUU UNAWEZA JIKUTA UKO KTK JANGA HIVI HIVI....HAWA WATU WA EXPORT WANASEMA WAMEONGEZEWA KODI NYINGI NDOMANA WAMESHUSHA BEI YA MANUNUZI..
KINGINE SERIKALI KUPIGA MARUFUKU KUUZA MAZAO NCHI JIRANI KAMA KENYA,ZAMBIA ETC....MPAKANI WATU WAME STACK N'A MAZAO YAOOO.....
Sisi wengine Tuna act kwa niaba ya kampuni, tunashida sana. Yaani mkulima anakutukana hadi anadiriki kukutolea panga eti utamuua kwa njaa. Angejua kweli ilipoangukia nadhani wengi wangekuwa watulivu huu msimu wa bwana mkubwa!
 
SAHIVI KILA NINAPOGUSA NAKULA ZA USO...NGOJA NIRUDI KTK BIASHARA YA MA CHEAP STONES TU HUKU NASUBIRIA MSIMU WA CHOROKO.....ILA DUTUMI NMEANZA KUANDA SHAMBA LA TIKIKITI...NIFIDIE MADENI HUKU MAANA KUNA VIMEOO BALAAA
Mkuu hapo Dutumi mbaazi wanauza bei gani?
 
Umegusa kwenyewe; Kuna mahali nipo na wakulima tumesitisha zoezi tangu jana. Wakulima wanataka kuniua kiasi kwamba mm ndio nimesababisha......Afadhali ya wale wamepunguziwa bei sasa mm nimewaambia inatosha na kwaheri yenu.
Mkuu ni wapi huko?nahitaji Mbaazi,na bei ikoje?
 
hata wanunuzi wenyewe wanalalamika wamekula hasara 7bu mbaazi hazijakauka vizuri kwa hyo zinaoza
 
Back
Top Bottom