stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 39,499 Reaction score 39,741 May 20, 2025 #81 King Jody said: Wapi urojo Click to expand... wazee wa urojo
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,830 Reaction score 12,587 May 20, 2025 #82 Tatizo kubwa ni kuwa hamko serious, Mumestick na mbinu hizo hizo ambazo ni almost failure. Inasikitisha sana.
Tatizo kubwa ni kuwa hamko serious, Mumestick na mbinu hizo hizo ambazo ni almost failure. Inasikitisha sana.
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,830 Reaction score 12,587 May 20, 2025 #83 safuher said: Mimi nipo hapa kujifunza kila comment naipitia mkuu, sijaahidi laki 1 popote. Mimi ni mwanafunzi nipo hapa, nimwkuwa na shauku ya kujua ushahidi unaoonesha kwamba zanzibar ilikuwa ni sehemu ya tanganyika Click to expand... Zanzibar haijawahi kuwa sehemu ya Tanganyika, Bali Tanganyika ilishawahi kuwa sehemu ya Zanzibar
safuher said: Mimi nipo hapa kujifunza kila comment naipitia mkuu, sijaahidi laki 1 popote. Mimi ni mwanafunzi nipo hapa, nimwkuwa na shauku ya kujua ushahidi unaoonesha kwamba zanzibar ilikuwa ni sehemu ya tanganyika Click to expand... Zanzibar haijawahi kuwa sehemu ya Tanganyika, Bali Tanganyika ilishawahi kuwa sehemu ya Zanzibar
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,975 May 21, 2025 #84 therealMalcolm X said: Bro jua kutofautisha kati ya waislam na BAKWATA Click to expand... Tumewachoka ni hao hao tu, watu tunataka maendeleo mtu anakuja kubwabwaja kuwa anataka misikiti ili iweje, misikiti inatusaidia nini sisi wananchi?
therealMalcolm X said: Bro jua kutofautisha kati ya waislam na BAKWATA Click to expand... Tumewachoka ni hao hao tu, watu tunataka maendeleo mtu anakuja kubwabwaja kuwa anataka misikiti ili iweje, misikiti inatusaidia nini sisi wananchi?