Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

Nyinyi masikini mna kitu gani cha kuilisha Tanganyika! Kama ni vyakula vyote mnaagiza kutoka Tanganyika. Kutwa mnashinda kwenye maskani yenu kupiga tu umbea na kunywa urojo.
Umewah kufika zanzibar lakin au unafata maneno ya watu tu
 
Huku bara ndo tunawapa misaada zenji, siku mkipata uhuru wenu tutawadai hela nyingi mtakimbia hicho kisiwa
Chief ungesoma Ata katiba kidogo ukaona jinsi mapato ya zanzibar yanavokuja kwenu kuwanenepesha viuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…