Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

Kama una amini siku zanzibar itarudi kua dola basi comment make ZANZIBAR great again View attachment 3339346
Nyinyi Wazanzibari ni kupe tu wa Tanganyika. Kutoka moyoni nikiwa kama raia wa Tanganyika, ninawachukia kutoka moyoni na huu muungano wenu wa kipuuzi wa changu changu, chako changu.
 
Mumchukue na bi kizimkazi wenu, mana anateka na Kuwapoteza watanganyika
 
Nyinyi Wazanzibari ni kupe tu wa Tanganyika. Kutoka moyoni nikiwa kama raia wa Tanganyika, ninawachukia kutoka moyoni na huu muungano wenu wa kipuuzi wa changu changu, chako changu.
Ayo maneno tuseme sisi mnatunyonya kila kitu embu huon wazanzibar tulivokonda ila uko tanganyika hadi wanaume mna viuno kma m'buyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…