wacheni kuzungumza msiyo yajuwa, kwani kabla ya kunganisha hiyo ASP na TANU tulikuwa tunaishi vipi ? mbona hamkuwa na sauti ya kuingilia mamuzi yaliyokuwa yanafanywa wakati ule?na wenywe wazanzibari wanamuliana kwa upendo wa ugu wao wa damu na huruma, fita zote zilianza baada mwaka 1977mara tu baada ya kunganishwa vyama viwili hivi nakumbuka kama leo nikiwa kijana mdogo wa paunia pale Amani Mzee Thabit Kombo alitokwa na machozi kama mtoto kwa kujuwa kuwa tumeruka mapote na tumejingiza ndani ya kinyesi tena changuruwe ,angalau kingekuwa cha ngombe kinatumika kwa mbole ,hatma yake leo ndio hii unakuta watu akina mwanakijiji wamekuwa wao ndio wasemaji wakubwa na wajuwaji wa maswali ya watu wa zanzibar na nini wanataka kataika maisha yao ,leo tumekuwa utu wetu umeondoshwa tumelazimishwa tuishi masiha ya ulahai ambayo hayakuwa ndani ya tamduni zetu imefika hadi leo huwezi kumkaribisha mgeni aliyepotea hata gilasi ya maji ,wacheni nyie wazanzibar hawakuzoweya vya kunyoga .
Hivi Kambarage alitaka kupinduliwa mara ngapi ?