Zanzibar: Waliouza chakula siku ya Ramadhan kufikishwa mahakamani

Hao nao wana kihere here sana watu wamefunga kwenye nchi yao ya kidini afu wewe unaenda waudhi
Mfungwe tu
 
wanafanya hivyo kwa matakwa ya mungu au kwa matakwa ya kibinadamu..kama mtu umefunga kwa imani dhabiti na kumaanisha..sidhan kama mtu atakula peke yako utatamani..kwanza kutamani ni dhambi tosha...itabdi wawapige marufuku hadi wanawake kuonekana mchana

Kama wanavyo watenga katika ibada na kuzika utafikiri hawana thamani vile. Ukiangalia historia wote ni mabaki ya Watwana wahamiaji walioachwa na utumwa wa babu zetu waliokuwa hawana Dini yoyote waka lazimishwa kuwa waislam na mazingira basi imekuwa kama wao wameianzisha zaidi ya Waalabu walio waletea. Imani haipungui kwa kuona mtu anakula omba Mungu wako upate thawabu ukiweza muelimishe atakuelewa na si kutumia nguvu
 
Mwanangu mshike sana Elimu husimuache aende zake!! Elimu inakusaidia kupambanua mambo yote ya ulimwengu. Waarabu aliwanyima Elimu ndo shida ya wenzetu kwenye uwezo wa kupambanua. Sisi wote ni ndugu imani isitutofautishe.
 
Back
Top Bottom