Zanzibar: Waliouza chakula siku ya Ramadhan kufikishwa mahakamani

Yaani mura nakwambia mi ningekura hadharani halafu murisya aje anikamate aone,nakwambia wangenitambua hao warisya!
 
Yaani mura nakwambia mi ningekura hadharani halafu murisya aje anikamate aone,nakwambia wangenitambua hao warisya!
Mwezi bado haujaisha nenda zenji halafu kula hadharani, ili tupate clip nyengine ya kueka hapa
 
Tamaduni!,tamaduni za kuzuia watu kula?,na ndo maana kukawa na Uhuru wa kuchagua dini ili kila mtu afate ambapo kwake ni sahihi,UISLAM siyo mbaya tatizo watu ndo mnafanya uislam uonekane mbaya
 
Sehemu yoyote yenye watu wenye IQ ndogo dini utumika kuamua mambo binafsi ya watu wengine. Hakuna nchi iliyobaki salama kwa kunyanyasa watu kwa kisingizio cha kulinda imani ya watu wengine. Waliotuletea dini hizi walaaniwe kwa kushindwa kuwaelimisha waliowaletea dini hizo kutambua kuwa watu weusi wana IQ ndogo watatumia imani zao kwa gharama za maisha wengine. Dini ni imani na itabakia hivyo,anayejua ukweli huo hawezi hata kunyanyua mguu wake na kwenda kumdhulu mwenzake kwa kisingizio cha kulinda dini yake.
 
pale kila mtu anapokuwa na sauti ni hatar sana sharia vipi inatumika kwa wale wala urojo ?
 
wanafanya hivyo kwa matakwa ya mungu au kwa matakwa ya kibinadamu..kama mtu umefunga kwa imani dhabiti na kumaanisha..sidhan kama mtu atakula peke yako utatamani..kwanza kutamani ni dhambi tosha...itabdi wawapige marufuku hadi wanawake kuonekana mchana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom