Lodge Zanzbar ni bei ghali sana, maeneo ya Mjini wanaita mlandege bei zake ni kwenye 70 -100 Tsh, stone town ni kwenye 200 umo, nje ya mji kidogo nahisi 25 - 40. Ila zipo nyengine un official maeneo ya mjini bei zinacheza kwenye 40 humo.
Ukishakuwa tayari naweza kukuulizia kwa wadau wakaribu tukata uhakika zaidi