Kuna mkasa ulitokea Zanzibar kuhusiana na matokeo ,inajulikana wazi kutokana na data zilizopokewa ndani ya Bwawani kuwa CCM haikushinda pia kuna habari kuwa Mkapa na Mwinyi na mkuu fulani wa Jeshi au Usalama walitua manane ya usiku na kutokea patashika ndani ya ukumbi ,ukisoma habari hio hapo juu unaweza kuhisi ,kuna jambo ,ila mambo karibu yatawekwa hadharani tena inasemekana redioni na waliohusika wote kuanikwa hadharani ,si Sheni si Seif waliyofurahia hali iliyotokea ,mambo yamerekodiwa ,zaidi habari hiyo inaitwa kama blackboxMwiba;
Sijakupata vyema.
Una maana sasa hivi kuna mkusanyiko huo Zanzibar au ni nini kinaashiria hali si shwari?
Unaweza ukatujuza zaidi na kutujulisha source ya hii habari?
Kuna mkasa ulitokea Zanzibar kuhusiana na matokeo ,inajulikana wazi kutokana na data zilizopokewa ndani ya Bwawani kuwa CCM haikushinda pia kuna habari kuwa Mkapa na Mwinyi na mkuu fulani wa Jeshi au Usalama walitua manane ya usiku na kutokea patashika ndani ya ukumbi ,ukisoma habari hio hapo juu unaweza kuhisi ,kuna jambo ,ila mambo karibu yatawekwa hadharani tena inasemekana redioni na waliohusika wote kuanikwa hadharani ,si Sheni si Seif waliyofurahia hali iliyotokea ,mambo yamerekodiwa ,zaidi habari hiyo inaitwa kama blackbox
Wazenj ni watu wa shari, ngoja tusubiri tuone kinachoendelea!
Walichofanya CCM Zanzibar, ndiyo CUF inakifanya huku Tanganyika.
Kama kweli CUF ni chama cha Upinzani, wangeliungana na Chadema na kuweka mambo sawa.
Ila utamuona Mwiba huyuhuyu akishangilia kushindwa kwa Chadema na Dr. Slaa.
Leo hii mie niwahurumie Wazenji? Saizi yenu, na mtawaliwe sana tu na Tanganyika, wapenda vya bure nyie.
Kwani CUF walikubaliana Jambo na CCM? Sikonge mbona unatuweka katika utata wengine sie tulio katika kiza?
Mwiba hana maana akiona CUF inaonewa anasema kama ni Chadema anashangilia, we are tired of dirty Zanzibaris politics to hell, better die alone in the Ocean you bas....tard.Walichofanya CCM Zanzibar, ndiyo CUF inakifanya huku Tanganyika.
Kama kweli CUF ni chama cha Upinzani, wangeliungana na Chadema na kuweka mambo sawa.
Ila utamuona Mwiba huyuhuyu akishangilia kushindwa kwa Chadema na Dr. Slaa.
Leo hii mie niwahurumie Wazenji? Saizi yenu, na mtawaliwe sana tu na Tanganyika, wapenda vya bure nyie.
Naombea muanze fujo na mtandikwe tena. Na wawauwe haswaa safari hii. Wengine najua ndiyo wanataka sababu za kuanza kuzamia nje kama Wakimbizi na kadi za CUF.
Mwiba hana maana akiona CUF inaonewa anasema kama ni Chadema anashangilia, we are tired of dirty Zanzibaris politics to hell, better die alone in the Ocean you bas....tard.
Hizo picha na hasa hiyo ya jana hapo juu, inaelezea kila kitu.
Wazanzibar si washari. CYF wanajua kuwa walishinda, so they want to stand for that. Huku bara bado wengi tumelala sana.
mwiba maalim seif kakaa jukwaa kukuu si kwa vile yeye makamu wa rais wa zanzibar sasa hivi au?
Seif alichokuwa anataka ni madaraka, ameshayapata ametulia tuliiii! Nyie endeleeni na kuumiza vichwa bure!
wazenj ni watu wa shari, ngoja tusubiri tuone kinachoendelea!