Zanzibar si shwari ,kunani ??

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mpaka sasa Wzanzibar wamepigwa na mshangao mkubwa wakutaka kujuwa nikitu gani kilicho jiri ndani ya ukumbi wa Bwawani?.
Wengi wamesikika wakisema nilazma Maalim Seif Sharif awaeleze ukweli wa mambo ktk kikao chake baina ya yeye na Mzee Ruhsa kuna kitu gani kili tokea?.
Maalim Seif nimsiri sana na huenda mara hii akaweza kufanya vile vile alivyo fanya ktk kikao cha yeye na Mwalim Nyerere au Mh Amani Karume.
Lakini hili la yeye na Mzee Ruhsa lilikuwa sio jambo la watu wawili wako watu ambao walikuwa pamoja na yeye na walikuwa na vinasa sauti na picha tunawaomba wa release picha hizo na vinasa sauti ili wzanzibar waweze kujuwa ukweli halisi wa kilichojiri ndani ya ukumbi kabla ya kutolewa matangazo ya uchaguzi hili ninaweza kusaidia sana Wazanzibar kuweza kujuwa ukweli halisi wa mambo yalivyokuwa ndani.
Niwajibu mkubwa wa Maalim Seif kuvunja ukimya na usiri huu kwa vile yeye ndie muasirika mkuu wa matokeo yalivyo kuwa.
Sihasha kuwa ukimya wake ukaleta asari kubwa sana mbeleni na wzanzibar kuondokana na chaguzi zisizo kuwa za huru na haki na kuto kuheshimiwa matakwa yao na Tume isio aminika na kuongozwa na watu wasio itakia mema Zanzibar na Wzanzibar kwa jumla.
Hivi sasa kuna badhi ya makundi tayari yamesikika yakisema hawako tayari kuona damu na mali za Wzanzibar zikipigwa mateke na kuzarauliwa na watu wasio na nia safi na Zanzibar.
Na jambo hili linaweza kusababicha utulivu na amani ilokuwepo kutoweka, kwa hio niwajibu wa viongozi kutueleza ukweli halisi wa mambo yalio tokea ndani ya Ukumbi wa Bwawani au kutowa picha na vinasa sauti ambavyo cuf walikuwa navyo kama mtego wa kuwatega wabaya ktk kikao hicho cha siri kilichokuwa na maneno makali.
Hii kueleza ukweli haito sababicha kuvunjika kwa Serekali ya umoja wa kitaifa au kumzuru Maalim Seif kama njia ya kumbana.
Serekali ya kitaifa ni Serekali ilio chaguliwa na wananchi wenyewe wa Zanzibar. Na imepata baraka zote kwa wazanzibar wenyewe na hakuna mtu au kikundi chochote kinachoweza kuivunja au kuibadilicha ispokuwa Wzanzibar wenyewe kwa kutumia kura ya maoni na mujibu wa katiba ya Zanzibar.
Kwa hio wazanzibar hivi sasa hawana hamu kubwa ya kujengwa mabarabara au kusikia sera, hamu ya wazanzibar nikujuwa ukweli halisi wa kilichojiri ndani ya ukumbi wa Bwawani na kumjuwa Mshawi wetu ni nani?.
Kuna sala ya pamoja ya kuombea walokuwa na nia chafu na Zanzibar lakini ukweli halisi ni lazima usibitishwe ili watu waweze kumchakia M/Mungu na kuangalia cha badae.
Hivi sasa
 
Mwiba;

Sijakupata vyema.

Una maana sasa hivi kuna mkusanyiko huo Zanzibar au ni nini kinaashiria hali si shwari?

Unaweza ukatujuza zaidi na kutujulisha source ya hii habari?
 
Mwiba;

Sijakupata vyema.

Una maana sasa hivi kuna mkusanyiko huo Zanzibar au ni nini kinaashiria hali si shwari?

Unaweza ukatujuza zaidi na kutujulisha source ya hii habari?
Kuna mkasa ulitokea Zanzibar kuhusiana na matokeo ,inajulikana wazi kutokana na data zilizopokewa ndani ya Bwawani kuwa CCM haikushinda pia kuna habari kuwa Mkapa na Mwinyi na mkuu fulani wa Jeshi au Usalama walitua manane ya usiku na kutokea patashika ndani ya ukumbi ,ukisoma habari hio hapo juu unaweza kuhisi ,kuna jambo ,ila mambo karibu yatawekwa hadharani tena inasemekana redioni na waliohusika wote kuanikwa hadharani ,si Sheni si Seif waliyofurahia hali iliyotokea ,mambo yamerekodiwa ,zaidi habari hiyo inaitwa kama blackbox
 
Hii habari nilisikia ila nikaona uzushi au siasa za zanzibar hebu tujuze zaidi mwiba? MOD hii habari mbona iko huku irudishe katika Uchaguzi Tanzania maana ni vuguvugu linaendelea zanzibar. Wazanzibar wengi hawajafurahi na hili na kuna manung'uniko ya chini kwa chini ukizungumza na watu.
 
Walichofanya CCM Zanzibar, ndiyo CUF inakifanya huku Tanganyika.

Kama kweli CUF ni chama cha Upinzani, wangeliungana na Chadema na kuweka mambo sawa.

Ila utamuona Mwiba huyuhuyu akishangilia kushindwa kwa Chadema na Dr. Slaa.

Leo hii mie niwahurumie Wazenji? Saizi yenu, na mtawaliwe sana tu na Tanganyika, wapenda vya bure nyie.

Naombea muanze fujo na mtandikwe tena. Na wawauwe haswaa safari hii. Wengine najua ndiyo wanataka sababu za kuanza kuzamia nje kama Wakimbizi na kadi za CUF.
 
Kwani CUF walikubaliana Jambo na CCM? Sikonge mbona unatuweka katika utata wengine sie tulio katika kiza?
 
kikwete+lipumba+seif+3.JPG

Kikwete_Lipumba.jpg

Hizo picha na hasa hiyo ya jana hapo juu, inaelezea kila kitu.
Kwani CUF walikubaliana Jambo na CCM? Sikonge mbona unatuweka katika utata wengine sie tulio katika kiza?
 
Habari ipo na hili litazungumzwa kwa uwazi kabisa ,yakhe palitokea maneno makali sana ndani ya ukumbi ,isipokuwa ilitumika busara ,kama mnakumbuka mliwahi kuarifiwa hapa wakati wa siku ya uchaguzi kuwa Mkapa ,Mwinyi na hata Kikwete walikwenda Zanzibar kwa nyakati tofauti au sio ? Nafikiri waandishi watakuwa na hizi habari kwani CUF kwa upande wao nasikia wanazo kwani walikuwa na vinasa sauti na picha ,baada ya kuona mtafaruku ndani ya ukumbi ,kuna watu jamani hawakupenda maelewano haya yatokee lkati ya Seif na Karume na Kikwete ,kundi lilitumia kila kitu kuharibu maelewano lakini nasikia Seif aligutuka na kukubali yaishe kwa maana ingi maadui walishindwa tena ,na kama utaangalia leo Maalim Seif yupo katika jukwaa kuu tofauti na viongozi wengine wa upinzani na hata Mama Salma Kikwete alionekana akipeana mkono nae with high shaking hands ,sio bure karibu maraisi wote waliofika walipeana mkono na Maalim Seif ukilinganisha na viongozi wengine ,hayo yote weka kando ,kubwa lijalo.
 
Walichofanya CCM Zanzibar, ndiyo CUF inakifanya huku Tanganyika.

Kama kweli CUF ni chama cha Upinzani, wangeliungana na Chadema na kuweka mambo sawa.

Ila utamuona Mwiba huyuhuyu akishangilia kushindwa kwa Chadema na Dr. Slaa.

Leo hii mie niwahurumie Wazenji? Saizi yenu, na mtawaliwe sana tu na Tanganyika, wapenda vya bure nyie.

Naombea muanze fujo na mtandikwe tena. Na wawauwe haswaa safari hii. Wengine najua ndiyo wanataka sababu za kuanza kuzamia nje kama Wakimbizi na kadi za CUF.
Mwiba hana maana akiona CUF inaonewa anasema kama ni Chadema anashangilia, we are tired of dirty Zanzibaris politics to hell, better die alone in the Ocean you bas....tard.
 
Wazanzibar si washari. CYF wanajua kuwa walishinda, so they want to stand for that. Huku bara bado wengi tumelala sana.

Seif amekubali matokeo, sasa chokochoko zote za nini kama si kutafuta shari? Bara hatujalala ndio maana PM Lowasa aliachia ngazi, mawaziri 2 walijiuzulu wakati wa sakata la Richmonduli, pia mawaziri kibao wametemwa kwemye ubunge safari hii, ulitaka watz bara waamkeje?
 
wazenj ni watu wa shari, ngoja tusubiri tuone kinachoendelea!

kuna watu hawawapendi wazanzibari duuuuhhh hivi vurugu mwaka huu zilitokea zanzibar au bara duuuuhh tena ww buchanan comment zk zote kuhusu wazenji ni negative hivi hawa wazanzibari kwako hawana positive kabisa@@@@@@
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom