Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Mpaka sasa Wzanzibar wamepigwa na mshangao mkubwa wakutaka kujuwa nikitu gani kilicho jiri ndani ya ukumbi wa Bwawani?.
Wengi wamesikika wakisema nilazma Maalim Seif Sharif awaeleze ukweli wa mambo ktk kikao chake baina ya yeye na Mzee Ruhsa kuna kitu gani kili tokea?.
Maalim Seif nimsiri sana na huenda mara hii akaweza kufanya vile vile alivyo fanya ktk kikao cha yeye na Mwalim Nyerere au Mh Amani Karume.
Lakini hili la yeye na Mzee Ruhsa lilikuwa sio jambo la watu wawili wako watu ambao walikuwa pamoja na yeye na walikuwa na vinasa sauti na picha tunawaomba wa release picha hizo na vinasa sauti ili wzanzibar waweze kujuwa ukweli halisi wa kilichojiri ndani ya ukumbi kabla ya kutolewa matangazo ya uchaguzi hili ninaweza kusaidia sana Wazanzibar kuweza kujuwa ukweli halisi wa mambo yalivyokuwa ndani.
Niwajibu mkubwa wa Maalim Seif kuvunja ukimya na usiri huu kwa vile yeye ndie muasirika mkuu wa matokeo yalivyo kuwa.
Sihasha kuwa ukimya wake ukaleta asari kubwa sana mbeleni na wzanzibar kuondokana na chaguzi zisizo kuwa za huru na haki na kuto kuheshimiwa matakwa yao na Tume isio aminika na kuongozwa na watu wasio itakia mema Zanzibar na Wzanzibar kwa jumla.
Hivi sasa kuna badhi ya makundi tayari yamesikika yakisema hawako tayari kuona damu na mali za Wzanzibar zikipigwa mateke na kuzarauliwa na watu wasio na nia safi na Zanzibar.
Na jambo hili linaweza kusababicha utulivu na amani ilokuwepo kutoweka, kwa hio niwajibu wa viongozi kutueleza ukweli halisi wa mambo yalio tokea ndani ya Ukumbi wa Bwawani au kutowa picha na vinasa sauti ambavyo cuf walikuwa navyo kama mtego wa kuwatega wabaya ktk kikao hicho cha siri kilichokuwa na maneno makali.
Hii kueleza ukweli haito sababicha kuvunjika kwa Serekali ya umoja wa kitaifa au kumzuru Maalim Seif kama njia ya kumbana.
Serekali ya kitaifa ni Serekali ilio chaguliwa na wananchi wenyewe wa Zanzibar. Na imepata baraka zote kwa wazanzibar wenyewe na hakuna mtu au kikundi chochote kinachoweza kuivunja au kuibadilicha ispokuwa Wzanzibar wenyewe kwa kutumia kura ya maoni na mujibu wa katiba ya Zanzibar.
Kwa hio wazanzibar hivi sasa hawana hamu kubwa ya kujengwa mabarabara au kusikia sera, hamu ya wazanzibar nikujuwa ukweli halisi wa kilichojiri ndani ya ukumbi wa Bwawani na kumjuwa Mshawi wetu ni nani?.
Kuna sala ya pamoja ya kuombea walokuwa na nia chafu na Zanzibar lakini ukweli halisi ni lazima usibitishwe ili watu waweze kumchakia M/Mungu na kuangalia cha badae.
Hivi sasa