Zanzibar si shwari ,kunani ??

Wazenj ni watu wa shari, ngoja tusubiri tuone kinachoendelea!

Hapana Mkuu Wazanzibar sio watu wa shari bali wako tayari kujitoa muhanga wanapodai haki yao, ambapo ni tofauti kabisa na watu wa huku Tanganyika

mimi kinachonisikitisha ni kutokujua nini hasa yaliyokuwa malengo ya CUF, ina maana watu wote walikufa na fujo zote za kipindi kile kilichokuwa kinatafutwa ni hiki cha Hamadi kuwa makamu wa raisi wa Zanzibar?
hapana sio kweli, Wanzanibar kuna kitu wanakitaka na Seif pia kuna kitu alichokuwa anakitaka, ni kitendo cha aibu kabisa kwa kiongozi kama Hamad kuwabetray watu wake, Zanzibar inaonekana kama pametulia lakini still kuna watu wengi ambao wapo kwenye sintofahamu ya kujua walikuwa wanpigania nini kwa miaka hiyo yote mpaka kupelekea watanzania kuwa na wakimbizi
Huwezi kujenga serikali ya umoja wa kitaifa mkiwa na hitikadi tofauti, kwa mfumo uliopo sasa Zanznibar ni kuwa tayari CUF na CCM ni chama kimoja na kwa kifupi CUF imemezwa na CCM, Hamad kapata alichokuwa anakitaka
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom