Zanzibar: Risasi zarindima!

Status
Not open for further replies.

Mi sitaki kusema muungano uwepo au usiwepo,ila busara ingefanyika kuitisha kura ya maoni kwa wote kwamba uwepo ama la ili kuepusha shari,wenzetu wanafikiri wafanye nn kupiga hatua za kimaendeleo ss twapoteza muda na swala hili.
 
Hii ZBC kweli ipo kwa ajili ya CCM suala kama hili hata hawajalitangaza jana na ndo maana kuzama kwa boti kulionyeshwa na ITV kabla ya wao taarifa ya habari ni kusifia jeshi la polisi na ufunguzi wa matawi ya Ccm basi hii kweli ni TV ZOBAAAAAAA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…