Zanzibar: Risasi zarindima!

Status
Not open for further replies.


Mkuu, mbona hizo clips zote nyingine zinaelekea kwenye jambo lile lile unalotolea tahadhari????????
Vita vya Udini?
Vya kuita wakristo Makafiri????
 

Nenda na uchizi wako, unakichaa au mental case!
 
mm ni mtanganyika na nimefuatilia sana kuhusu pirika za muamsho na kitu kinachonisumbua ni kuwa mbona wazanzibar karibuni wote 90% wako pamoja bega kwa bega na Uamsho...kuna viongozi wachache wa jamhuri ya muungano wanasema muamsho ni kikundi cha wahuni basi wazanzibari wote ni wahuni kwa ajili wanadai Zanzibar yao huru
Kuna siri gani kubwa kuhusu huu muungano?? mpaka serikali ikashindwa kuwaambia wanachi kwa muda wa miaka 48??
 
Nenda na uchizi wako, unakichaa au mental case!

I am wondering who has a mental case. Nelsweeter of those who dashes abusive languages like Bomba la Mavi, kafir and the like????
 

Ukifumba macho unaweza kutambua, lakini 'ukifumba' akili, kamwe hutatambua! Wamehoji wahusika wote na sheikh pia kahojiwa, bado we unaona ni fake!

Haya, endelea kupambana kumtetea Allah, Mi sina uwezo wa kumpigania Mungu, yeye ndio ananipigania!
 
UAMSHO = MRC
MRC wanasema Pwani si Kenya
UAMSHO wanasema Zanzibar haitaki Muungano.

Wawaachie nchi yao. Nasikia wanakuwa na TAKUKURU yao.
 


Tunakuheshimu kaka, lakini wewe ndio muhuni mkubwa zaidi.
 
kwani wwe unaona huu muumngano una faid ayyote?unaweza kunitajia faida zenyewe?kwangu hao wazee wapo sahihi kupinga huu muungano

Kila nyumba kumi zina mbunge mmoja, mwakilishi wa baraza la wawakilishi mmoja na balozi wa Tanzania wa nchi za nje..
 
walau wao wanajenga airport yao

itakuwa rahisi kwa Oman Air A380 (kama wanayo) kutua pale









 
Tatizo/hoja ni kutotaka Muungano au ni Wakristu?...wamechoma kanisa la K/koo-Znz na kuchoma gari la Askofu nk.
Nilikuwa napita tu
 

We jipachike tu huo utanganyika wako wa mitandaoni lakini siku ikifika, utasema tu kuwa 'weye ntoka wapi'. Haiwezekani nyie muite binadamu wenzenu 'bomba la mavi' then mbakie salama ktk ardhi ya Tanganyika-never! Thumma never!
 
kulingana na mabadiliko ya tabia bahari sidhani kama ni salama mtu mwenye akili timamu kuendelea kuishi zanzibar. Hiki kisiwa kinazama baharini na si ajabu siku moja kikafunikwa na tsunami. Rai yangu kwa waserikali iwahamishe kwa nguvu hawa masalia wa biashara kwenda kwenye ardhi ya mababu zao yaani tanganyika hususani tabora na mtwara! morning people!
 

Kikundi cha Uamsho tumieni busara, sasa hivi ni high season kwa watalii mtajiletea umaskini wa kutosha. Kumbukeni pia kuchoma makanisa kutaleta chuki kubwa ambayo hata hao viongozi wa uamsho hawatakuwa salama. TUMIENI BUSARA MSICHOME MAKANISA HAKIKA TUNA MARAFIKI WENGI ZANZIBAR AMBAO TUNASHIRIKIANA NA WALA DINI HAIJAWAHI KUTUTENGA.TAFADHALI MDAI HAKI BILA KUGUSA MAMBO YA DINI NI HATARI KWA ZANZIBAR.
 
Hapa kazi ipo kwenye huu muungano, MUNGU atunusuru kwa hilo.
 
Hii ni JF ndugu na hapa watu wanatumia ID fake, usije kugeuziwa kibao wakati wa faragha. It seems like your ass hole is horny



Hapa tu ndo nnapochoka na JF, kwenye matusi kama haya.. Nadhani halijachukuliwa kwa uzito sababu ya kuandikwa kiingereza.. Ina maana na mods hawajui maana yake.. Siamini!! Ngoja nitafsiri kwa mafungu.. Noh! Nafsi inakataa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…