Zanzibar: Risasi zarindima!

Status
Not open for further replies.
Police wamewalea vya kutosha au mashehe, muda mrefu wamekuwa wakihubiri upuuzi, police wamekaa kimya tu. Mahubiri yao yote ni kutukana watanganyika, eti "Tanganyika bomba la mavi". Kwa muda wote huo wamekuwa wanachezea sharubu za Simba, sasa kinachowafaa ni kichapo tu ili waende kuwasimulia wake zao, shenzi type. Asiye taka muungano arudi Ngazija na Oman.
 
kwani wwe unaona huu muumngano una faid ayyote?unaweza kunitajia faida zenyewe?kwangu hao wazee wapo sahihi kupinga huu muungano
 

Duh!! Wewe kweli umejua kuwatukana Watanganyika. Yaani ''TANGANYIKA BOMBA LA MAVI'' Dah!!!
 
Ndugu zanguni Wazanzibar msiogope mabomu yao na hata wakitumia silaha za moto kumbuka hawatawauwa mikwara yao tu,komaaeni mdai haki yenu kumbukeni haki haiji kwa kuomba haki inakuja kwa lazima tuko pamoja watu wetu sie Watanganyika lazima tukumbuke kuwa Zanzibar ni nchi na muungano huu ulisainiwa na watu wadogo tu paosipo kushirikisha Wazanzibar na hii yote ilitokana na maslahi binaafsi ndio maana imetokea hivi halafu Magamba CCM wanawaambia ati Zanzibar sio nchi sasa kama sio nchi kwa nini wanaita muungano tangu lini tukaona mko una ungana na mkoa mwingine then ukaitwa muungano.
Ndugu zangu kumbukeni kama mtawakubali hawa wauaji,ccm,magamba na wezi hamtafanikiwa sana sana mtapigwa mabomu ya machozi ambayo yamenunuliwa kwa kodi zenu so kuweni wamoja ipo siku kitaeleweka.Peoples Power Zanzibar pia
 
Hadi muda huu, bado mabomu yanaendelea kupigwa katika mitaa ya Zanzibar. Hali bado haijatulia.
 
Hadi muda huu, bado mabomu yanaendelea kupigwa katika mitaa ya Zanzibar. Hali bado haijatulia. People's Power.
 
Hadi muda huu, bado mabomu yanaendelea kupigwa katika mitaa ya Zanzibar. Hali bado haijatulia. People's Power.


Kuna taarifa kwamba lipo kanisa limechomwa usiku huu huko Zanzibar.
 
kinakuwasha nini? ukihitaji msaada sipo mbali na ww au umenisahau kwa sababu ya hiyo nickname
 
Duh!! Wewe kweli umejua kuwatukana Watanganyika. Yaani ''TANGANYIKA BOMBA LA MAVI'' Dah!!!

Angalia video zilizoko You Tube zinazoonyesha mihadhara ya hao wanajiita uamsho. Hayo matusi ni ya hao wanajiita wazanzibar halisi wakiwatukana watanganyika. Hakika kwa matusi hayo hiyo Zanzibar huru mtaisikia hewani tu. Mnajua wazi kuwa huu muungano ulileletwa na mataifa ya magharibi ila kwa chuki mliyonayo kwa watanganyika mnatukana matusi kama watoto wadogo. Subirini Farujah nyingine inatua Zanzibar soon. Wote mnaopinga muungano ni njaa inawasumbua tu, as if baada ya muungano kufa ndio mtaishi peponi thubutu. You are loosers!.
 

mbona unauliza jawabu? Unafikiri wako pale kwa maslahi ya Wazanzibari? Sasa ukiondoshwa mfumo huu uliopo wataenda kushiba wapi? Usifikiri wabunge ni miongoni mwa hao Wazanzibari katika kipindi chote watachokuwa huko. Wakiondoshwa basi "uzalendo na uzanzibari" unarejea.
 
[h=3][/h]


Hali visiwani Zanzibar si shwari. Taarifa tulizopata ni kwamba kumekuwa makabiliano baina ya polisi wa kutuliza ghasia FFU na kikundi cha kihuni kinachojiita Kikundi cha Uamsho. Je hawa wanaojiita Kikundi cha Uamsho wanaotaka muungano uvunjwe wametumwa na nani? Je ni yale yale ya kuigiza yale ya wenzao wa Mombasa Republic Council huko Kenya wanaodai kujitenga ili washirikiane vizuri na mabwana zao wa kiarabu? Leo wazanzibari wanakataa muungano wakidai wajitenge wawe huru. Je na Pemba wakidai kujitenga na Zanzibar huru mambo yatakuwaje? Mbona wenzetu wanashindwa kujifunza toka Comoro? Serikali ya muungano inapaswa kuingilia na kuhakikisha kikundi hiki kinashughulikiwa kwa njia stahiki yaani, kuruhusu wananchi kuujadili muungano. Je ni kwanini serikalil ya Muungano imekuwa kimya kwenye tatizo la muungano au ni ile hali ya serikali husika kushindwa karibu katika kila kitu? Je hiki kikundi kinachoanza kutumia mabavu cha Uamsho kinachofanya ni uamsho au Uangusho?
 

Hapa nilipo natazama hizi video

SABABU YA KUUKATAA UMOJA HUU ~ UAMSHO KINYASINI - YouTube


Mbona sijaona hayo maneno.
 
kinakuwasha nini? ukihitaji msaada sipo mbali na ww au umenisahau kwa sababu ya hiyo nickname

Hii ni JF ndugu na hapa watu wanatumia ID fake, usije kugeuziwa kibao wakati wa faragha. It seems like your ass hole is horny
 
Kwatarifa yako Jumuiya ya Mashehe Uamsho Zanzibar imepata baraka zote kutoka kwa viongozi wao wa Smz, Zanzibar itagombolewa na wazanzibar wenyewe sio vyama vya siasa.

Sasa mbona mnajichanganya, hao waliotoa amri kukamatwa na wabara?
 

Lugha yako inakugomba kuwa wewe linakuhusu hili. Iwapo dini ni ya kwao na nchi ni ya kwao na polisi wanakamatwa wao huku wewe una kwenu na dini yako ,sasa huoni kuwa huna mchango wa maana hapo?

Usiwe mjinga kufikiri kuwa mtu akiwa na dini haoni uchungu wa manyanyaso, na hali halisi kwa hapa kwetu Tanzania viongozi wa dini wamekuwa mstari wa mbele kudai haki na kuondosha dhuluma au unafikiri pale mapadri wanapoipigia kelele Serikali juu ya mauwaji ya Polisi, ufisadi na mengine huwa wanazungumza neno la Mungu?
Zanzibar dini yao ni Waislamu kwa wingi , utashangaa kuwa viongozi wa dini kuwa ni wa Kiislamu wanaopinga udhalimu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…