Zanzibar: Rais Shein amteua Bw. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu

idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,050
1,403
Ni hivi punde. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefanya uteuzi wake wa kwaza tangu kuapishwa kutawala visiwa vya karafuu.

Kutoka ITV
 
ka nchi kadogo kama kinondoni ati nako kana rais tehe tehe aibu tupu
 
ka nchi kadogo kama kinondoni ati nako kana rais tehe tehe aibu tupu

Tafadhali badilisha hilo jina Phd unatia aibu hebu google kuna nchi Zina raisi hata hako ka Zanzibar kubwa na ina Raisi.

Ila tu Zanj wamechemsha ni sawa Raisi wa Tandale ama wamenzese anaijipa jina mwenyewe na kujipa cheo bila ridhaa ya wananchi
 
Back
Top Bottom