Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,180
- 149
kwani wewe upo wapi...isjekuwa unaniumiza kichwa bure?Junius fatalia ni jinsi gani mikutano ya Dr Shein inavyohudhuriwa na wazanzibari wengi kuliko wa maalim
angalia uone jinsi sera za shein zinavyorejesha matumaini kwa wazanzibari
Zanzibar kuna tofauti kati ya wapiga kura na wanapenda shangwe za mikutano look at me and others like me...siendi mikutanoni lakini kura yangu nampa Maalim Seif...tupo wengi kama mimi....hasa wafanyakazi wa serikali ambao awali wakihofia kujionyesha kwa kuhofia kufukuzwa kazi...ila kwenye sanduku la kura wanajiripua...ndiyo maaana CCM...kama ulivyo wewe Mtu wa pwani, wakiona mikutano yao inakuja watu..halafu kwenye kura wanabwagwa...wanashangaa na kuchakachua matokeo!
Mtu wa pwani...wazanzibar hawashughulishwi na shangwe na ushamba wa fulana na kofia, mtu akiamua yes ni yes...si umeona kura za maoni zimefanywa kwa uhuru na haki...nini kimetokea?
Nakuhakikishia kama uchaguzi unafanyika huru na haki kama ilivyokuwa kwa kura ya maoni..basi CCM haizidi majimbo kumi ya ushindi kati ya 50...!