Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Tusihukumu dini fulani kuwa imehusika katika hili ni vema tukasubiri vyombo vya usalama vitutafutie ukweli. Nahisi something is behind this and i think is not religious issue may be there is another business. Nawasilisha

kuanzia lini jeshi la polisi likakamilisha uchunguzi hata wa kamanda baro bado haujakamilika
 
Hapa aliyeanzisha udini ni mwinyi na kikwete akaendeleza cha msingi kila mtu asimame kidete kuitetea imani yake vita hii itarudi YESU atakaporudi kulinyakua kanisa na kumaliza vita ya Israel na palestina
 
Kuna mikanda imekuwa mitaani muda mrefu ikiwahimiza waislamu walipize kisasi kwa kila Sheikh aliyeuawa! Kwa kila Sheikh mapadri watano! Nimeambiwa pia kuna vijitabu/vipeperushi vinavyoekeleza mtiririko wa mawazo ya namna hii. Naamini kama serikali yetu ni makini basi itakuwa inajua yote haya. Lakini kama kawaida tumekuwa waoga kuwakemea watu wa namna hii, yaani Serikali yetu haiwezi kukemea waislamu wenye kufanya vitisho na hata kuvamia watu (mifano ni mingi) na Viongozi wa dini ya Kiislamu hawawezi kuwakemea wafuasi wao wenye tabia kama hizi;yamkini kumekuwepo na imani sasa kwamba yote yanayofanywa na hawa labda niwaite magaidi yanafanywa kwa baraka za serikali, uongozi wa dini ya kiislamu na kwa ajili hio dini ya kiislamu.

Ni ujuha kumtaka mtu aliyeumizwa kwa kuvamiwa kuwa amvumilie mvamizi! Tusipokemea taifa linaangamia.

Pd Evaristi Mushi, juzi juzi tu alikuwa anamwombeleza rafiki yake Mzee wa huko Marekani, leo tutamwombeleza, naam hatuna budi, lakini maombolezo yetu ni ya hasira kwa serikali, serikali lazima ikemee- ikemee tu wala hatujawambia wachukue mapanga!
Ni kweli Njilembera serikali ndio chanzo cha yote na najua ni kwa sababu hao wanaotenda hayo ni wa upande wa dini ya viongozi.
Yan kwa hasira hizi nadhani wanaweza kusababishia nchi hali ya hatari seriously....kila siku kumekuwa na manyanyaso kwa wakristu utadhani wao nchi ni yao ila naamini ni kwa kukosa elimu ndio maana wanafanya mambo ya kijinga plus kutokuwa busy....!
Laana na iwe juu yao wote wenye matendo yasio na upendo na nawaahidi hawatatuweza kamwe coz uvumilivu umeshaanza kutuisha!
 
Last edited by a moderator:
Ni vita ya shetani dhidi ya watu wa Mungu,waumini wa kweli wa Mungu hawapigani kwa bunduki,ni wakati wa wakristo kuondoka huko zanzibar na kuwaachia kipande chao cha ardhi,na wazanzibari wa huku bara nao wafungashe virago watokomee kwao,elimu ni muhimu sana.

tuhakikishie kama ameuawa na wazanzibari?
 
Kabla hujapost pitia angalau page mbili za JF utaona kama hiyo habari ipo au haipo. Hii si tetesi bali nimchukulie breaking news tangu asubuhi. Nenda soma huko. Mod unganisha hii.
 
Kikwete anatimiza malengo yake,Nchi imekushinda ONDOKA;ONDOKA;ONDOKA HUWEZI.
Ee Mungu tumekosa nini watanzania? Rais ndo huyu, Bungeni maspika wachovu watupu, mahakamani majaji wanateuliwa vihiyo. -kila mhimili umeguswa na uchakachuaji. Duh! 2015 mbali!
 
watanganyika musijaribu kupoteza malengo ya wazanzibar juu ya katiba mpya ya kudai nchi yao kwa kisingizio vya wakristu wanao pigwa risasi


kwa karibuni watu waliopigwa risasi ni wengi sana zanzibar bahamadi mfanya biashara maarufu alipigwa risasi, suleiman naye alipigwa risasi

kuna mgeni kutoka nchi za asia alipigwa risasi baada ya siku tatu tangu kutokea tukio la father ambrose kule mazizini

wakati wa ramadhani watu wawili walipigwa risasi na baadae kupigwa father ambrose


katiwa acid shekhe fathil sauraga na katekwa shekhe faridi

sasa haya matukio ni idadi kubwa ya waliofanyiwa ni waisilamu je tuseme wameyafanya wakristu

hapa ni kutafutwa nani anamiliki silaha na nani anafanya uhalifu huu ikiwa tukisema kwa kufurahisha nafsi zetu basi itakuwa tukitatuwa matatizo mazito ya jamii kwa wepesi kama serekali ya kimagamba

Inawezekana na wewe mtuma thread ni mhusika
 
What a sad day; Mungu atusaidie. Na bado atasimama JK na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini Kikwete..

Naona unajiliwaza na kujifariji mauji ya Mwembechai nayo alikuwa Kikwete.
 
Sasa tunapoelekea kama taifa ni hatari, tusiwalaumu ndugu zetu waislam kabla hatujajua ni nan kafanya, ngoja tusubiri taarifa ya jeshi la polis ndo tufanye maamuzi kwani sasa inaelekea zanzibar si mahala salama kwa viongozi wa madhehebu ya kikristo,
Unadhani jeshi la polisi watasema nini zaidi ya kusema kauawa na majambazi?
Jeshi ni lao then waseme nini?
Tunaujua ukweli wala hatuhitaji report yao!
 
Hapa aliyeanzisha udini ni mwinyi na kikwete akaendeleza cha msingi kila mtu asimame kidete kuitetea imani yake vita hii itarudi YESU atakaporudi kulinyakua kanisa na kumaliza vita ya Israel na palestina

na sio nyerere mnayetaka kumpa utakatifu kwa kazi nzuri aliyolifanyia kanisa?
 
Tuache kutegemea viongozi wa dini kwa tafsiri za vitabu vitakatifu kwani yote yaliyo andikwa,kila mtu ana tafsiri yake na wengine wako katika kupandikiza chuki ndani ya waumini... Hakuna dini inayokubaliana na mauaji ya binadamu mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom