silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,637
- 2,404
Zanzibar ilikua na umeme kabla ya hata New York. Zanzibar yenyewe ilikua ina vinu vyake vya kufua umeme. Inavyosemekana vilichukuliwa na Tanganyika baada ya Muungano.98% ya wapemba walioko Zanzibar hawautaki Muungano hata kidogo wanaamini wananyonywa.
Muungano wanautaka watu wa unguja ambao wao wanandugu wengi huku bara.
Cha kushangaza Zanzibar vitu vyao muhimu wanategemea bara,kamati ya 80+ ya askari wanatoka bara.
100% nishati ya umeme wanategenea bara..
Naamini wakijitoa nchi yao itakufa kibudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Askari hao pia ni kwa mujibu wa Muungano si kama hakuna Wazanzibari wanaoweza kazi hii.
Next time soma history ya Zanzibar kwanza kabla hujaleta mada zako za kuzalilisha our great country.