Wakuu aina nia ya kudhalilisha au kumdhalilisha yeyote lakini kuna mambo yamenisikitisha sana katika aherehe za Mei mosi.
Nimeangalia aherehe za Mei mosi ambazo zimehutubiwa na rais Mwinyi kuna vitu bimenisikitisha sana.
-Sherehe imwpooza kama tukio la serikali za mitaa bara.
- Watu wanyoonge kuanzia maafisa wa ikulu hadi wafanyakazi wa kawaida na raia
-Nimeaikitika kuona moja viongozi wa wafanyakazi akisoma wafanyakazi bora kwenye karatasi lililojikunja kama lilifungiwa mihogo
- Maafisa ikulu na walinzi wa rais wanakatisha hovyo hovyo mbele ya rais kama wanafunzi wa shule ya msingi halafu wametazama chini
-Watu wanaenda kumnong'oneza rais utafikiri wako kwwnye kikao cha kikoba.
-Brassband sasa wamevaa ma overcoat kama mafundi mchundo aaaa
Hivi sisi tunaweza kitu gani?
Jf...mods msifute uzi huu wasome wajirekebishe