Unauhakika na hiyo sababu uliyotoa hapo?inawezekana sana mkuu tena sana wapemba ndo wanatamaa bado wanamuota sultan
goog option ni serikali 3
Nyerere ndie nö 1 alieipoteza Tanganyika!
...
Akumbukwe kwa lipi?
Ivi unajua bila u..... Wa nyerere kusingekua na mivutano hii?
...
Dah! Naskitika sana nikiona mtu anaejiona anaakili timamu afu akaleta story za nyerere kuhusu muungano! Story zenyewe za kumsifia!
...
Wizi mtupu!
Akili ya kuamini kuwa MwenyeziMungu alitundikwa mtini na kuuliwa na viumbe wake mwenyewe?!Acha wehu we mburula yule mkatoliki alikua na akili sana.Elim yako ya madrasa ndo iliyokupotosha na kuwaza kinyumenyume
Ni aibu kwa nchi kubwa tanganyika kuiganda zanzbr kisa muungano,kama vizuri kupoteza utaifa basi watanganyika nendeni kenya mukaungane nao kisha mupoteze utaifa wa kenya,zanzbr kwanza.
unauhakika na hiyo sababu uliyotoa hapo?
Hapa tupo pamoja!
Nyerere ana akili sana. Aliiongezea Tanganyika Eneo la Utawala mpaka Zanzibar.Hivi unajua Bendera ya Tanganyika inapepea Zanzibar lakini ya Zanzibar mwisho Chumbi.Kila kitu cha Tanganyika kinaheshimiwa Zanzibar na Mpaka sasa Rais wa Zanzibar katangaza wazi anayehoji Muungano(Himaya ya Tanganyika)ahame Zanzibar.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwa nini Zanzibar kuna Wimbo wa Taifa,Bendera,Rais,Vikosi vya SMZ,Katiba n.k,lakini Tanganyika hakuna? Jibu ni kwamba Tanganyika ndio Tanzania na Zanzibar ni Sehemu ya Tanzania yaani Tanganyika.
Akili ya kuamini kuwa MwenyeziMungu alitundikwa mtini na kuuliwa na viumbe wake mwenyewe?!
Sasa pale mnaposema kuwa Tanganyika imevaa koti la muungano mnamaanisha nini?Katiba ya Znz ipo wazi kabisa na imetamka HILO bila kificho KUWA ZNZ NI NCHI.
Hata mkikereka UKWELI NDIO HUO.
mkuu mbona iko wazi, zanzibar hata wakijitenga hawako salama.
Mkuu unashangaa bure kwa kitu cha kawaida tu. Kama Simba na Yanga zina bendera nembo na nyimbo zao ndio ajabu kwa SMZ kua na bendera wimbo na nembo yake? Hata serikali za mitaa zina bendera na nembo zao! TFF yenyewe ina rais wake. Tatizo ni pale wanapodai zanzibar ni nchi kamili. Kama 'kamili' wana maana 'sovereign' basi ni uongo.Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili
Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
Acha ungese mtoto wa kiume,kama unaringia tanzania basi elewa tanzania haijawahi kupata uhuru na wala haijawahi kutawaliwa,jitambue wewe ni mtanganyika.
Naona swali hilo ulipaswa kumuuliza Nape na mwenyekiti wake na mpango wao wa serikali mbili,Zanzibar na Tanzania.
Hivi uliona wapi Taifa linaachia Koloni lake kirahisi?
Umeshajiuliza Kama Zanzibar na Tanganyika ni Nchi mbili zenye hadhi sawa kwa nini Wajumbe wa Bunge la Katiba wa Tanganyika(Tanzania)wasiwe sawa na wajumbe kutoka Zanzibar?
Mkuu unashangaa bure kwa kitu cha kawaida tu. Kama Simba na Yanga zina bendera nembo na nyimbo zao ndio ajabu kwa SMZ kua na bendera wimbo na nembo yake? Hata serikali za mitaa zina bendera na nembo zao! TFF yenyewe ina rais wake. Tatizo ni pale wanapodai zanzibar ni nchi kamili. Kama 'kamili' wana maana 'sovereign' basi ni uongo.
Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili
Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
Kiukweli inatakiwa tuwe na serekali moja na Zanzibar itambuliwe kama mikoa mingine tu kama Mtwara, Kigoma, Dar, Dodoma au mkoa mwingine wowote.
Unakumbuka Algeria ilikuwa chini ya ukoloni wa Kifaransa kwa karne ngapi?Akili za Madrasa hizi.Nenda Afrika ya Kati ukawasaidie Mujahideen,Wenzako wanahamishwa na Malori kutoka Mjini Bangui baada ya Jihad waliyoianzisha kuwageukia.