Android 00
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 774
- 226
Tukiwa Serious, Je Huyu si kwamba amevunja Katiba ya JMT?
Hivi Rais wa nchi/Jamhuri ya Zanzibar ni nani?
Zanzibar kama ni nchi mbona haina kiti maalum AU. nyie wazenji acheni kutudanganya kisa mmegundua mafuta basi mnajiona wajajanja kweli tukiwaacha mmarekani anakuja kuyakomba yote hatowaachia hata tone LA mafuta
kwahiyo tanzania bara hakuna katiba;;;;;;;
Hawa ndugu zetu sijui wana matatizo gani kichwani; sasa kama ingekuwa nchi kamili wangekuwepo wenye kudai "mamlaka kamili"? grrrrr
Kwani hilo posho linalipwa na nani? Kumbuka Tanganyika haipo.MMJ,
Sisi ndo tunawadekeza, hapa alitakiwa kuulizwa swali dogo tu, je sasa Zanzibar itawalipa posho wabunge wa bunge la katiba?
Hapo tungekata kidomo domo, cha ohh ni nchi na ina mamlaka yake kamili
So what?
Hizi kelele wamezipiga sana lakini kilicho wazi ni kwamba Zanzibar ni nchi isiyotambuliwa wa UN full stop.
Kwani amiri jeshi wa Zanzbar ni nani? Nchi gani ambayo rais wake hawezi kupinduliwa sababu si mkuu wa majeshi?
Binafsi mimi sikerwi kwa Zanzibar kuwa nchi, mna haki kabisa ya kuwa nchi kamili. Kinachonisumbua mimi ni kuwa na muungano baina ya nchi mbili ambapo nchi nyingine (Tanganyika) iliyofanya muungano huo haitambuliwi.
Tanzania bara wao wanasema wanaipenda Tanzania, wameshazoea jina hilo hivyo wache watumie ile katiba ya Tanzania.
Zanzibar kama ni nchi mbona haina kiti maalum AU. nyie wazenji acheni kutudanganya kisa mmegundua mafuta basi mnajiona wajajanja kweli tukiwaacha mmarekani anakuja kuyakomba yote hatowaachia hata tone LA mafuta
Kwani unafokea nini Mzee Mwanakijiji, si utuache na uchache wetu wa akili. Unatoka povu la nini Zanzibar kujidai kuwa ni nchi wakati kwa uelewa wako kuwa si nchi? Unajuwa unatumia nguvu za bure kwa jambo ambalo kama muelewa ungenyamaza kimya!!!!!!
Kwani kuna watu wanasema Zanzibar kitongoji?Waache wawe nchi kwani lazima muungano?Mheshimiwa Waziri wa Muungani amehalalisha uhalali za Zanzibar kuwa HAKUNA Atahri kwa Zanzibar kuwa na Bendera, Wimbo wa Taifa etc kwa kuwa Zanzibar ni Nchi Kamili
Source: Taarifa ya habari ITV saa 2.00 USIKU
Tanzania bara ndiyo kitu gani? Hapa tunazungumzia Zanzibar na Tanganyika, hiyo nyingine unaijua wewe na familia yako.kwahiyo tanzania bara hakuna katiba;;;;;;;