GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 4,916
- 6,686
Kwa Kizungu, nchi ni COUNTRY na Taifa ni NATION.
TAFSIRI:
COUNTRY - a nation with its own government, occupying a particular territory.
NATION - a large body of people united by common descent, history, culture or language, inhabiting a particular country or territory.
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, hayo maneno yote yametumika. Kwamba ni nchi na ni Taifa.
Kwa mfano, ibara ya 4 ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 inasema, "Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za Kisheria nchini kote..."
Sehemu nyingine inasema, "Rais atakuwa Kamanda Mkuu wa Idara Maalum na atakuwa na uwezo wa kufanya chochote kile anachohisi, kwa maslahi ya Taifa, kinafaa"
Wengine huwa wanasema, ooh, Zanzibar ni mkoa wa Tanganyika, n.k.
Lakini Katiba ya Zanzibar imetamka wazi kuwa Zanzibar ni nchi na ni Taifa.
Kuna Mtanganyika anayeweza kulibisha hilo kwa vigezo vya Kisheria?
Angalizo: Mimi siyo mtaala wa Sheria, kwa hiyo kama kuna nilikokosea nieleweshwe
πππππππππππππ